MAKALA MPYA

Cameroon Ndio Taifa La Kwanza Kuifunga Brazil Fainali za WC

0
Timu ya Taifa ya Cameroon imekuwa taifa la kwanza kuifunga Brazil katika fainali hizi za Kombe la Dunia ambapo hapo jana wamepachikwa bao 1-0 katika mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi.   Bao hilo lilifungwa na Vicent Aboubakar katika...
pasi

Wakali wa Pasi za Mwisho Ligi ya NBC

0
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu imekua kwenye ushindani mkubwa kuanzia kwenye timu mpaka wachezaji ambao wanachuana kwelikweli kuhakikisha timu zao zinafanya vizuri. Msimu huu ukiacha vita ya kugombea kiatu cha dhahabu mwisho wa msimu kwa washambuliaji ambao watakua...
amrabat

Amrabat Hauzwi

0
Mkurugenzi wa klabu ya Fiorentina inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A ameeleza hawana mpango wa kumuuza kiungo wa kimataifa wa Morocco Sofyan Amrabat aliyepo klabuni hapo. Kiungo huyo ambaye ameonesha ubora mkubwa kwenye michuano ya kombe la...
klopp

Klopp Sio Mrithi wa Flick

0
Wakala wa kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amefuta uwezekano wa kocha huyo kuchukua nafasi ya kocha wa sasa wa timu ya taifa ya Ujerumani Hans Flick baada ya kocha huyo kushindwa kuivusha timu hiyo hatua ya mtoano. Ujerumani...
cameroon

Hatma ya Cameroon ipo Mikononi mwa Brazil

0
Timu ya taifa ya Cameroon itashuka dimbani usiku huu kutafuta nafasi kufuzu hatua ya 16 bora dhidi ya timu ya taifa ya Brazil ambao tayari wameshafuzu hatua hiyo baada ya mechi zake mbili za awali. Timu ya taifa ya Cameroon...
korea kusini

Korea Kusini Haoo 16 Bora

0
Timu ya taifa ya Korea Kusini imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Ureno kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo wa mwisho kundi H. Timu hiyo baada ya kushinda dhidi ya Ureno...
ghana

Ghana na Uruguay Wote Nje

0
Timu ya taifa ya Ghana na Uruguay ambazo zimecheza pamoja katika mchezo wa mwisho wa kundi H jioni ya leo wamejikuta wote wakiwa nje ya michuano ya kombe la dunia. Licha ya Uruguay kuifunga timu ya taifa ya Ghana kwa...
gvardiol

Gvardiol: Real Madrid ni klabu kubwa Duniani

0
Beki wa klabu ya Rb Leipzig inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya Croatia Josko Gvardiol amefunguka kua klabu ya Real Madrid ni klabu kubwa duniani na huenda akacheza klabu hiyo siku moja. Beki huyo ambaye...
schweinsteiger

Shweinsteiger: Ujerumani ina Beki mmoja Mwenye Ubora wa Dunia

0
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Bayern Munich Bastian Shweinsteiger amesema timu ya taifa ya Ujermani ina beki mmoja tu ambae ana ubora wa kiwango cha dunia. Shweinsteiger ameyazungumza hayo baada ya timu hiyo...
nabi

Nabi Apigwa Rungu na Bodi ya Ligi

0
Kocha wa klabu ya Yanga Nassredine El Nabi amefungiwa na bodi ya ligi kuu baada ya kutoa maneno makali kwa waamuzi wa akiba katika mchezo namba 38 wa ligi kuu ya NBC. Kocha Nabi anakumbana na adhabu ya kufungiwa michezo...