Klabu ya Manchester United imetangaza kwamba inampango wakuwauza wachezaji wake saba katika dirisha la usajili la Januari.

7 Wawekwa Sokoni Manchester United

Kwa mujibu wa The Sun kwamba Manchester United imewaweka sokoni wachezaji Donny van de Beek,Jesse Lingard, Phil Jones, Eric Bailly, Anthony Martial, Diogo Dalot na Alex Telles.

Jesse Lingard ni moja ya wachezaji ambao wampo kwenye mipango ya kuuzwa ingawa kocha Ole Gunnar Solskjaer alisema kwamba mchezaji yupo katika mipango yak msimu huu.

Mashetani wekundu wameamua kufanya hivyo kwa kile wanachodai kwamba wanapunguza gharama za matumizi klabuni hapo.

Vilevile Man United wanampango wa kuwatoa kwa mkopo wachezaji wa timu ya vijana ili wakapate uzoefu katika kikosi cha kwanza.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa