76ers - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

NBA: Hawks Yawazidi Kete 76ers.

Basketball

NBA imefikia kwenye hatua yenye burudani lukuki. Hatua ya nusu fainali inaendelea kurindima kwenye viwanja kadha wa kadha. Atlanta Hawks, yawalaza na viatu Philadelphia 76ers kunako mchezo wa kwanza wa …

NBA: Nets Yawapiku 76ers Kibingwa.

Basketball

Unapozungumzia NBA unazungumzia msimu wa kawaida ambapo ni michezo ya Eastern na Western Conference, lakini utamu wa ligi hiyo unakuwa moto kwenye hatua ya play-offs. Michezo wa msimu wa kawaida …

NBA: Lakers Yatolewa Umaarufu na 76ers

Basketball

Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Mabingwa watetezi, LA Lakers, wamejikuta wakiotolewa umaarufu kwa kupoteza mchezo dhidi ya Tha Philadelphia 76ers. Lakers walikuwa na rekodi ya …

Heats Watinga Nusu Fainali NBA 2022

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference. Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi kwa sasa, Heats wamefanikiwa kutinga …

NBA; Irving Ni Moto Mkali!

Basketball

Songombingo za kugoma kuchanja chanjo ya Covid-19 zimemfanya akose baadhi ya michezo kwenye NBA. Lakini, Kyrie Irving ni wa moto… Wakati huu ambao James Harden ameondoka Brooklyn Nets na kujiunga …

NBA: Lakers Walamba Ushindi vs Blazers.

Basketball

LA Lakers wamevunja mnyororo wa kupoteza michezo 3 mfululizo kunako NBA msimu huu. Portland Trail Blazers wameambulia kipigo Staples Centre. Lakers wameendelea kumkosa nyota wao – LeBron James ambaye anauguza …

NBA: LeBron Arejea na Ushindi Lakers.

Basketball

Baada ya kufungiwa mchezo mmoja, LeBron James amerejea uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Indiana Pacers kunako NBA. James alifungiwa kucheza mchezo mmoja baada ya kuhusika kwenye ugomvi na Isaiah Stewart …

NBA: Jazz, Bucks Warejea na Ushindi.

Basketball

Baada ya vipigo kwenye michezo iliyopita kunako NBA, Utah Jazz na Milwaukee Bucks wamerejea kwenye ushindi. Jazz walikuwa uwanjani kuchuana na Atalanta Hawks alfajiri ya leo. Jazz aliingia uwanjani akiwa …

NBA: Jazz, Lakers Ushindi Tu!

Basketball

NBA msimu wa 2021/22 unaendelea kusogea, burudani inaendelea kunoga kila uchwao. Utah Jazz, LA Lakers, Warriors ni ushindi tu. Jazz walikua uwanjani kuchuana na Denver Nuggets katika mchezo wa 4 …

NBA: Nets Wapindua Meza, Lakers Kipigo!

Basketball

Mzunguko wa pili kunako NBA umeendelea usiku wa kuamkia leo. Brooklyn Nets wamerudi mchezoni wakati LA Lakers wakiendelea kupoteza michezo yao. Nets walikuwa uwanjani kuchuana na Philadelphia 76ers. Baada ya …

NBA: Nani Ni Nani 2021/22?

Basketball

Joto linaongezeka miongoni mwa wadau, mashabiki na wachezaji wa ligi ya NBA kuelekea msimu mpya, 2021/22. Jumanne hii, mambo ni moto! Ligi ya NBA inatimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake. …

1 2 3