AC Milan: Zlatan Ibrahimovic Kuongeza Nguvu Wikiendi
Milan wanamuhitaji nahodha wao Zlatan Ibrahimovic ambaye anaonekana kuwa kwenye sintofahamu ya kuwepo kwenye mechi dhidi ya Benevento Jumamosi. Nyota huyu raia wa Sweeden ameimarika kutoka katika majeraha aliyokuwa anayauguza …