Africa - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Simba Yairarua African Sports

SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya kombe la Azam Federation baada ya kupata ushindi mnono wa mabao manne kwa bila dhidi ya klabu ya African Sports kutoka …

Pan African kuanza tizi kesho

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African, kesho jumatano kinatarajia kuanza mazoezi yake kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Green Warriors. Mchezo huo wa ligi ya …

Nyota sita wasimamishwa Pan African

SOKA LA BONGO

Uongozi wa Pan African leo umetangaza kuwasimamisha nyota wake sita kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa iliyotolewa leo na Ofisa Habari wa Pan African, Leen Essau ilieleza kuwa “Tunapenda kuwataarifu …

Pan African Wana Jambo Lao Jumamosi

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African kinachoshiriki ligi ya Championship kinatarajia kucheza mechi ya mzunguko wa 10 dhidi ya Copco. Tangu Kocha Mkuu, Iddy Cheche akichukue kikosi hicho amefanikiwa kupata ushindi katika …

Pan African Kuifuata Copco Kesho

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African kesho jumatano kinatarajia kuondoka kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Copco. Pan inayonolewa na Kocha Mkuu, Iddy Cheche kinacheza mchezo huo wakiwa na …

Beki wa Yanga Kuikosa Club Africain

SOKA LA BONGO

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Novemba 2 mwaka huu Jijini Dar, Yanga waliambulia suluhu ya bila kufungana. Mchezo wa marudiano unatarajiwa kupigwa Novemba 9 mwaka huu, ambapo Yanga wanapaswa kupata …

Pan African Kuivaa Gwambina kesho

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African kinatarajia kushuka dimbani kesho jumamosi kumenyana na Gwambina kwenye mchezo wa ligi ya Championship. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Mej. Generali Isamuhyo. Timu hizo …

Pan African Yaipania Pamba

Daily News

Kikosi cha Pan African kinatarajia kushuka dimbani kesho jumamosi kumenyana na Pamba kwenye mchezo wa ligi ya Championship. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza ambapo tayari Pan African …

1 2 3 4 23 24 25