Alexander Povetkin - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Pambano la Siku: Fury vs Whyte

Boxing

Pambano kali la kuwania taji la dunia la uzito wa juu wa Uingereza kati ya Tyson Fury na Dillian Whyte linatarajiwa kufanyika leo siku ya Jumamosi usiku wa kuamkia Jumapili. …

Dillian Whyte : Nita Mdondosha Tyson Fury

Boxing

Dillian Whyte amesema kwamba atafanikiwa sehemu ambayo Deontay Wilder alishindwa kumdondosha chini Tyson Fury. Whyte amemuonya Fury: “Nitakupiga kichwa na mwili bila huruma kwa usiku tutakao pigana.” Mwanamasumbwi huyo kutoka …