Anthony Joshua - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Anthony Joshua, “Sasa Inatosha”

Boxing

Kwenye ulimwengu wa ndondi, Anthony Joshua amefunguka ya moyoni ikiwa ni baada ya kupokea kichapo kizito kutoka kwa Oleksandr Usyk. AJ alijikuta akipoteza mataji matatu – WBO, WBO na IBF …

Anthony Joshua Amsifia Jake Paul

Boxing

Anthony Joshua mshindi wa uzito wa juu IBF, WBA, WBO, IBO hana tatizo na Jake Paul katika mchezo wa ngumi. Tangu aingie kwenye ngumi za kulipwa mwaka jana, Jake Paul …

Anthony Joshua Ajiandaa Kustaafu Ndondi.

Boxing

Anthony Joshua amekiri kwamba “naelekea mwishoni mwa taaluma yangu” na amedokeza kwamba amebakiwa na “miaka mitano” katika mchezo huo kabla ya kustaafu. Bingwa huyo wa uzani wa juu mwenye umri  …

Anthony Joshua Awasaidia Mabondia Wachanga.

Boxing

Baada ya kufanya vizuri na kujitengenezea jina kubwa kwenye ulimwengu wa ndondi, bondia Anthony Joshua amejitolea kuwasaidia mabondia wachanga nchini Uingereza. Anthony Joshua ameamua kuwashika mikono mabondia wanaochipukia akiamini kuwa …

Anthony Joshua 90% ni Mnaijeria.

Boxing

Joshua ana asili ya Nigeria na Wanigeria wanajivunia nyota huyo, kwani mama yake ni raia wa nchi hiyo. Pia, baba yake ana asili ya Nigeria na Ireland. Kuthibitisha mapenzi yake …

Anthony Joshua Amchimba Biti Mike Tyson!

Boxing

Anthony Joshua amemwambia Mike Tyson kuwa aachane na mpango wa kurejea ulingoni kupambana na simba vijana “Young Lions” -wa uzani wa juu. Mike Tyson yupo kwenye maandalizi ya kurejea uwanjani, …

1 2 3 4 5