Arsenal - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Arsenal Yaitandika City Mnara wa 5G

Daily News

Ligi kuu yaUingereza iliendelea hapo jana kwa michezo kadhaa lakini mchezo ambao ulikuwa ukisubiriwa ni ule wa mwenyeji Arsenal dhidi ya bingwa mtetezi Manchester City ambao ulimalizika kwa vijana wa …

Arsenal, Liverpool Wabanwa Ligi kuu Uingereza

News

Vilabu vya Arsenal na Liverpool vimebanwa koo katika michezo yao ya ligi kuu ya Uingereza waliyocheza leo baada ya kujikuta wakidondosha alama katika michezo ambayo walicheza katika viwanja vyao vya …

Arsenal Yapigwa na Newcastle

Daily News

Arsenal mambo yanaendelea kuonekana kua magumu ndani ya msimu huu kwani mpaka sasa wahsapokea vipigi viwili na sare michezo mitatu, Hii imekuja baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa …

Arsenal Yapindua Meza Kibabe

Daily News

Klabu ya Arsenal kwa siku nyingine imeshinda mchezo kibabe kwa kutokea nyuma kwenye mchezo ambao walikua nyuma dhidi ya klabu ya Southampton katika dimba la Emirates. Arsenal walikua nyumbani leo …

Arsenal Yashinda Jioooni

Daily News

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Leicester City dakika za jioni kabisa baada ya wageni hao kutaka kubisha katika mchezo huo ambao washika mitutu hao wa London walihitaji …

Locatelli: Sijutii Kutojiunga Arsenal

Serie A

Kiungo wa klabu ya Juventus Manuel Locatelli amebainisha kua hajutii kujiunga na klabu ya Juventus na kutojiunga na washika mitutu kutoka jiji la london klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza. …

Arsenal Wanaandaa Ofa Kubwa ya Lookman

Daily News

Atalanta alipoanza kufikiria kuwa Ademola Lookman angesalia bila ofa ya PSG, Sportitalia wanaripoti kuwa Arsenal wako tayari kwa dau la €50m na ​​Jakub Kiwior kama sehemu ya mpango huo. Lookman …

Arsenal Yarejea na 100M Kwaajili ya Osimhen

News

Arsenal wamerejea kwenye kinyang’anyiro cha kumnasa mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen, na watakuwa tayari kulipa €100m kwa ajili ya Chelsea na Paris Saint-Germain. The Partenopei alikubaliana na mchezaji huyo wa …

Arsenal Bado Wanampambania Merino

Daily News

Klabu ya Arsenal inaendelea kupambania saini ya kiungo wa kimataifa wa Hispania Mikel Merino ambaye wanahitaji kupata saini yake kwajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao. Arsenal wanafanya mazungumzo …

Arteta: Nketiah Anaweza Kusalia Arsenal

Daily News

Baada ya mshambuliaji wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Uingereza Eddie Nketiah kuripotiwa atatimka klabuni hapo kuelekea klabu ya Olympique Marseille kocha Mikel Arteta ameweka wazi kuna asilimia …

Arsenal Yampoteza kinda Wake Matata

Daily News

Klabu ya Arsenal imethibitisha kua kinda wake Chido Obi Martin (16) ataondoka klabuni hapo na kuelekea timu nyingine baada ya kushindwa kumshawishi kubakia kwenye timu hiyo. Arsenal wanaelezwa walijitahidi kwa …

1 2 3 4 133 134 135