Arturo Vidal - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Arturo Vidal Asaini Mkataba Inter

Daily News

Nyota Arturo Vidal amesaini kandarasi yake ya miaka miwili na Inter, pamoja na chaguo la kuongeza mwaka wa tatu, baada ya kuwasili kutoka Barcelona bure kama mchezaji huru. Iliripotiwa awali …

Arturo Vidal Awaaga Barcelona

Daily News

Nyota wa Barcelona, Arturo Vidal  anaripotiwa kuwa tayari ameshawaaga klabu ya Barcelona akiwa tayari kuungana na Inter Milan. Ripoti zinasema kuwa nyota huyu aliamua kwenda kutembelea viwanja vya klabu kwa …

Juve Wamkataa Arturo Vidal

Daily News

Ripoti zinasema kuwa klabu ya Juventus wamekataa nafasi ya kumrejesha mshambuliaji wa Barcelona Arturo Vidal katika dili la mabadilishano na Miralem Pjanic. Kwa mujibu wa Calciomercato, Barcelona walikuwa wanataka kubadilishana …

Vidal: Barcelona Ijitathimini

Daily News

Mchezaji wa Barcelona – Arturo Vidal amenukuliwa akisema timu yake inapaswa kujithamini kama inahitaji kurudi kwenye ubora wake. Barcelona walikuwa na wakati mgumu msimu uliopita na sasa wapo kwenye sakata …

Dyabala Atabadili Upepo Serie A?

Daily News

Wakati huu ambao ni dhahiri, Paulo Dyabala hana muda mrefu ndani ya kikosi cha Juventus, huenda mchezaji huyu akabadilisha upepo ndani ya Serie A? Ilitokea kwa Zlatan Ibrahimovic, Arturo Vidal, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Arsenal inamtaka Philippe Coutinho,29 kutoka Barcelona msimu huu wa majira ya joto kama hatajiunga moja kwa moja katika kikosi cha Aston Villa. Tetesi zinasema, Erling Braut Haaland …

Tetesi za Soka barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Mauricio Pochettino amewashauri Manchester United kumsajili Harry Kane,28, kapteni wa Tottenham. Hata hivyo kocha Pochettino naye anawindwa na United kuwa kocha mpya. Tetesi zinasema, Real Madrid imemuongeza …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 29, atakuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto ikiwa Real Madrid au Barcelona watamnunua. Tetesi zinasema, Roma …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Juventus wameonesha nia kwa mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 32, huku mustakabali wake ukiwa shakani katika Uwanja wa Emirates baada ya kuvuliwa unahodha. Leeds wanataka …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Klabu ya PSG inajipanga kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 28, endapo mshambuliaji wao tegemezi Kylian Mbappe ataamua kutokuongeza mkataba wake. Tetesi zinasema Kiungo wa …

Erasto Nyoni, Kuzeeka ni Hiari

Champions League

Hodi hodi jijini San Joaquín nchini chile yalipotimu mazazi ya Arturo Vidal, nyinyi mna nyota yenu, sisi tuna bahati yetu. Hodi tena kinshasa ya congo, hapo alizaliwa Claude Makélélé, Kiungo …

1 2