Perez : Rodri Hakustahili Ballon D’or
Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez ameongea kauli ambayo imeakisi kabisa kua kiungo wa klabu ya Manchester City Rodri hakustahili tuzo ya Ballon D’or mbele ya mchezaji Vinicius …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez ameongea kauli ambayo imeakisi kabisa kua kiungo wa klabu ya Manchester City Rodri hakustahili tuzo ya Ballon D’or mbele ya mchezaji Vinicius …
Beki wa zamani wa klabu ya Chelsea Kalidou Koulibaly amemzungumzia mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Nicklas Jackson ambaye ni raia mwenzake wa Senegal na kusema mchezaji huyo anapaswa kuwaza kushinda …
Leo Messi anasisitiza kuwa mchezaji mwenzake Lautaro Martinez anastahili Ballon d’Or zaidi ya mtu mwingine yeyote kwani nahodha huyo wa Inter amekuwa na ‘mwaka wa kuvutia.’ Lautaro ni miongoni mwa …
Gwiji wa Italia Alessandro Del Piero anaeleza kwa nini anaamini kuwa nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham anafaa kushinda tuzo ya Ballon d’Or. ‘Cristiano Ronaldo na Lionel Messi hawakustahili tuzo …
Davide Calabria alipendekeza kuwa mchezaji mwenzake wa Milan Rafael Leao anahitaji kitu kimoja hasa kutoka kwa Kylian Mbappe ili kumsaidia kushinda Ballon d’Or siku moja. Winga huyo wa Ureno mwenye …
Kylian Mbappe anasisitiza kuwa Lionel Messi alistahili kutwaa tuzo ya Ballon d’Or iliyoongeza rekodi kwa mara ya nane baada ya kushinda Kombe la Dunia msimu wa baridi uliopita nchini Qatar. …
Nyota wa Napoli, Victor Osimhen anahisi kuwa kuteuliwa kwa Ballon d’Or 2023 ni mwanzo tu kwani atafanya kazi kwa bidii ili kufikia ndoto zake zote. Mchezaji huyo wa …
Wachezaji wanne wa sasa wa Serie A wamejumuishwa kwenye orodha ya walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d’Or 2023, inayodokezwa na wengi kuwa tuzo ya mtu binafsi yenye hadhi kubwa zaidi …
Lionel Messi anaongoza orodha ya wanaowania tuzo ya Ballon d’Or kwa wanaume baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia. Erling Haaland, Harry Kane, Jude Bellingham na …
Kiungo wa Chelsea anayefanya vizuri kwa sasa Enzo Fernandez huenda akawa moja kati ya wachezaji wenye umri mdogo zaidi kuchukua tuzo kubwa ya dunia. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet …
Robert Lewandowski atapata nafasi moja ya mwisho ya kuthibitisha ubora wake kama mshambuliaji bora wa kizazi chake kwenye Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar. Nyota huyo wa Barcelona anaweza …
Mchezaji wa Manchester City Ilkay Gundogan amesema kuwa mchezaji mwenzake mwenye kiwango bora Erling Haaland anaweza kuwa mshindani wa baadaye kushinda Ballon d’Or. Tangu ajiunge na City akitokea Borussia …
Sadio Mane Mshambuliaji wa Bayern Munich usiku wa jana ameshika nafasi ya pili katika tuzo za mwaka huu za Ballon d’Or, nyuma ya Kareem Benzema aliyefanikiwa kutwaa tuzo hiyo ya …
Kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Alexia Putellas ametwaa tuzo ya Ballon d’Or ya Wanawake kwa mara ya pili mfululizo huku akiichukua mwaka jana pia. Putellas alitambuliwa mwaka …
Mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema anatarajiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora Duniani baada ya kuwa na msimu mzuri uliopita kwa kuchukua makombe mbalimbali ikiwemo kombe La UEFA, Taji la …
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema amesema kuwa kwa msimu huu amefanya kadri alivyoweza kufanya na klabu yake ili kuweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or baada ya kuisadia …
Mshindi wa taji la Ballon d’Or kwa mwanasoka bora wa kiume na wa kike duniani sasa ataamuliwa kutokana na matokeo yake katika msimu mmoja badala ya kalenda ya mwaka …
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amesema kwamba alishtushwa na matokeo ya tuzo za Ballon d’Or 2021 baada ya yeye kuwekwa nafasi ya 7 na alisema hakuana aliyetarajia kwamba yeye atamaliza …
Waandaaji wa tuzo za Ballon d’Or wameeleza kuwa wanafikilia kuhusu kumzawadiya Robert Lewandowski tuzo ya mwaka 2020 baada ya kauli ya Messi aliyotoa kwenye sherehe hizo alipopokea tuzo yake ya …
Kocha mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti alikuwa na mkutano na wandishi wa habari siku ya Jumanne kuelekea mchezo wa Real Madrid dhidi ya Athletic Bilbao katika LaLiga. Waandishi hawakuuliza …