Barcelona Dani Alves - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Dani Alves Hajafanyiwa Maamuzi Barcelona!

News

Kinyume na ripoti za hivi punde zinazodai kwamba Dani Alves atapewa mkataba mpya na Barcelona ambao utadumu hadi msimu ujao, Diario AS wameripoti kwamba mustakabali wa beki huyo wa kulia …

Xavi Ashtushwa na Taarifa za Alves

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez ameshtushwa na taarifa za mchezaji mwezake wa klabu ya Barcelona Davi Alves ambaye anatuhimiwa kuhusika na unyanyasaji wa kingono. Beki wa kimataifa wa …

Alves Aweka Rekodi Brazil

World Cup 2022

Beki wa zamani wa klabu ya Fc Barcelona,PSG,Juventus kwasasa anaitumikia klabu ya Pumas kutoka nchini Mexico Davi Alves ameweka rekodi na timu ya taifa ya Brazil baada ya kuitwa kwenye …

Dani Alves Akataa Kustaafu?

Daily News

Mchezaji wa kimataifa wa Brazili Dani Alves bado anaendelea kucheza soka japo ana umri wa miaka 39 na anatarajia kusafiri na kikosi cha timu hiyo ya taifa kwenye michuano ya …

Wasiwasi wa Alves Kusaini Mkataba Mpya Barca

News

Kwa mujibu wa taarifa ya MARCA, Barcelona ingemuongezea mkataba Dani Alves kwa mwaka mmoja zaidi, Xavi Hernandez aliulizwa kuhusu mustakabali wake katika mkutano na waandishi wa habari Jumamosi kabla ya …

Pigo Jingine kwa Barcelona

Daily News

Barcelona wamepata pigo jipya kwa kufungiwa kwa nyota wao Dani Alves. Alves alikuwa kwenye fomu nzuri sana mwishoni mwa juma, akifunga na kusaidia Barcelona kushinda bao 4-2 dhidi ya Atletico …

Barcelona Kumuuza Dembele Januari Hii.

La Liga

Uvumilivu umewashinda, FC Barcelona wameamua kuonesha ukubwa wa klabu kuliko mchezaji. Dembele rasmi, yupo sokoni Januari hii. Kumekuwa na mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la kusaini mkataba mpya kati …

1 2 3