Barcelona Ronald Koeman - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Suarez Ataka Majibu Kutoka kwa Koeman

Daily News

Mchezaji wa Atletico Madrid  Luis Suarez anataka aliyekuwa kocha wa zamani Ronald Koeman amwambie  kwanini alimuondoa katika klabu yake ya Barcelona miaka miwili iliyopita.   Suarez alijiunga na wapinzani wao …

Koeman Kumrithi Van Gaal.

World Cup 2022

Kwa mara ya pili, Ronald Koeman atarejea kwenye nafasi ya kuiongoza timu ya Taifa ya Uholanzi kama kocha mkuu. Koeman atachukua nafasi hiyo kuanzia mwezi Januari baada ya mashindano ya …

Rangers Wamtolea Macho Ronald Koeman

Daily News

Baada ya Steven Gerrard kuwapa mkono wa kwa heri sasa Rangers wanatafuta kocha mbadala ili kuendeleza wimbo mzuri ambao Gerrard aliuanzisha na Ronald Koeman anaonekana kuwa mtu sahihi Ibrox Stadium …

Xavi Hernandez Kurudi FC Barcelona.

Daily News

Hatimaye Xavi Hernandez anatimiza ndoto yake ya kukinoa kikosi cha FC Barcelona. Ndoto ya mkongwe huyu wa Catalunya, inakwenda kuwa uhalisia. Barca walichukua uamuzi wa kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha …

Mapema Tu Xavi Kutua Barcelona

Daily News

Xavi Hernandez anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa kwenda Barcelona mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa. Kiungo huyo wa zamani wa Barca amekuwa chaguo namba moja la Barcelona mapema baada ya Ronald Koeman …

Xavi Kuchelewa Kuwasili Barcelona

Daily News

Xavi Hernández kutua Barcelona inaweza kuchukua muda mrefu kuliko ilivyokuwa inatarajiwa awali kulingana na taarifa za ndani ya Barcelona. Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona ni wazi kuwa chaguo la kwanza …

Sergi Barjuan Kocha wa Muda Barcelona

Copa del Rey

Sergi Barjuan ametangazwa kuwa kocha muda wa timu ya Barcelona baada ya kocha mkuu Koeman kufunagashiwa vilago mpaka pale atakapotikana kocha anaweza kuchukua mikoba rasmi iliyoachwa na Koeaman. Taarifa iliyotoka …

Barcelona Wanamtaka Klopp Camp Nou.

Daily News

  Kulingana na Jarida la Sport, Klabu ya Barcelona inatamani meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp kukinoa kikosi hicho baada ya kukamilisha mkataba wake pale Anfield.   Mkataba wa Klopp pale …

1 2 3 4 10 11 12