Barcelona Xavi Hernandez - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Xavi Hernandez Kurudi FC Barcelona.

Daily News

Hatimaye Xavi Hernandez anatimiza ndoto yake ya kukinoa kikosi cha FC Barcelona. Ndoto ya mkongwe huyu wa Catalunya, inakwenda kuwa uhalisia. Barca walichukua uamuzi wa kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha …

Xavi Yupo Sana Barcelona

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez kwenye hali ya kushangaza amewashtua mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangazwa kua ataendelea kusalia ndani ya viunga vya klabu hiyo vya Camp …

Barcelona Kuipindua Liverpool kwa Amorim

La Liga

Klabu ya Fc Barcelona inaelezwa inakaribia kuipindua klabu ya Liverpool katika kumuwania kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim ambaye anawaniwa na klabu ya Liverpool. Barcelona mwishoni …

Xavi: Hatutasajili Dirisha Dogo

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi kua klabu hiyo haina mpango wa kusajili mchezaji yeyote katika dirisha dogo la mwezi Januari licha ya majeraha ambayo wamekua wakiyapata. …

Xavi na Barca Yake Kizungumkuti

La Liga

Klabu ya Barcelona mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Hispania maarufu kama La Liga hawaeleweki chini ya kocha wao Xavi Hernandez. Hii imekuja kutokana na matokeo ya kusuasua wanayopata klabu …

Xavi: Hakuna Tatizo Lolote Ndani ya Timu

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez amebainisha kua hakuna matatizo ndani vyumba vya kubadilishia nguo ndani ya klabu hiyo kutokana na kauli aliyoitoa kiungo Gundogan. Kiungo Ilkay Gundogan jumamosi …

Xavi Kuongezewa Mkataba Barca

La Liga

Mkurugenzi wa klabu ya Barcelona Deco amesema wapo kwenye mchakato wa kumuongezea mkataba mpya kocha wa klabu hiyo Xavi Hernandez ambaye alijiunga na timu hiyo mwaka 2021. Deco anasema kocha …

Cancelo Anaitaka Barcelona

La Liga

Mchezaji wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Ureno Joao Cancelo anaelezwa anahitaji kutimkia klabu ya Fc Barcelona mabingwa wa soka nchini Hispania. Joao Cancelo mpaka sasa …

Xavi: Kuondoka kwa Dembele Kutatudhoofisha

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez amesema kuondoka kwa winga wa kimataifa wa Ufaransa Klabuni hapo Ousmane Dembele kutawadhoofisha. Xavi wakati akiongea na wanahabari kuzungumzia masulala mabalimbali ya klabu …

Neves Kutimkia Barcelona

Daily News

Kiungo wa kimataifa wa Ureno Ruben Neves anatarjiwa kujiunga na klabu ya Barcelona katika majira haya ya joto baada ya kumaliza msimu na klabu yake ya Wolverhampton inayoshiriki ligi kuu …

Busquets Kusalia Barcelona

La Liga

Kiungo wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajiwa kubaki ndani ya klabu hiyo kutokana na mazungumzo ambayo yanaendelea baina ya kiungo huyo na klabu yake ya Barcelona. Taarifa zinaeleza kua …

1 2 3 4 8 9 10