Bournemouth - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Jason Tindall Afukuzwa Bournemouth.

Daily News

Klabu ya Bournermouth imemfukuza kazi kocha wake, Jason Tindall muda mfupi baada ya mchezo dhidi ya Sheffield Wednesday. Tindall amejikuta akioneshwa mlango wa kutokea muda mfupi baada ya kupoteza mchezo …

Eddie Howe Ang’atuka Bournemouth.

Football

Bournemouth wameagana rasmi na kocha wao Eddie Howe baada ya kushushwa ngazi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Miaka mitano ya Bournemouth katika EPL ilifikia tamati mnamo Julai 26 licha …

Ake Nje Msimu Mzima Bournemouth.

Daily News

Ake Nathan anatarajiwa kukosa mechi zote zilizo salia katika msimu wa 2019/2020 baada ya kupata majeraha katika mchezo wa jana dhidi ya Leicester City. Ake alitolewa nje kabla ya mapumziko …

Bournemouth na Corona

Daily News

Mchezaji wa Bournemouth ambaye hakutajwa jina ni mmoja ya wawili waliogundulika na Virusi vya Corona katika matokeo ya vipimo vya hivi karibuni na kufikia jumla ya wagonjwa nane waliogundulika katika …

1 2 3 4 12 13 14