Brandon Williams Kuondoka Man United kwa Mkopo
Brandon Williams anaripotiwa kuwa tayari kuondoka klabuni Manchester United kwa mkopo katika dirisha hili la uamisho. Nyota huyu wa miaka 20 amekuwa na wakati mkgumu kupata namba dhidi ya washindani …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Brandon Williams anaripotiwa kuwa tayari kuondoka klabuni Manchester United kwa mkopo katika dirisha hili la uamisho. Nyota huyu wa miaka 20 amekuwa na wakati mkgumu kupata namba dhidi ya washindani …
Mlinzi wa Manchester United, Brandon Williams anaripotiwa kuwa yupo mbioni kujiunga na klabu ya Ligi ya Primia kwa mkopo kwa sehemu ya msimu ya 2020-21 iliyosalia. Nyota huyu wa miaka …
Nyota wa Man United Brandon Williams anajiunga na mwenzake Marcus Rashford kutoa fedha kwa ajili ya kusaidia familia katika kampeni ya misaada ya Krismasi kwa familia zenye uhitaji. Beki huyo …
Erik ten Hag aliwaambia wachezaji wake kwamba kiwango chao kibovu katika kichapo cha Tottenham hakukubaliki kwani bosi wa Manchester United aliwashutumu baadhi ya wachezaji kutojituma. Akiwa amemaliza wa tatu …
Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw atakuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la misuli. Beki huyo mwenye umri wa miaka 28 ndiye tegemeo …
Cristiano Ronaldo huenda akakutana tena na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Alex Telles katika dirisha lijalo la usajili wa kiangazi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo ameachwa kwenye kikosi cha timu hiyo ambacho kinasafiri kwenye tour ya Pre-Season ambacho kinatarajia kusafiri kwenda nchini Thailand na Australia. Cristiano Ronaldo …
Tetesi zinasema winga mshambuliaji wa Ajax na Brazil, Antony, 22, amedhamiria kujiunga na Manchester United msimu huu wa joto. Tetesi zinasema, beki wa pembeni wa Manchester United Muingereza Brandon …
Klabu ya Manchester United inampango wa kupunguza wachezaji watano tena ili kuweza kumpa wigo mpana kocha mpya Erik ten Hag kufanya maingizo mapya ya wachezaji ambao anahitaji kuwa nao kwenye …
Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Everton na England Dominic Calvert-Lewin, 25, anatarajia kuondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu, huku Arsenal na Newcastle United zikonyesha nia ya kumtaka. Tetesi zinasema, …
Tetesi zinasema, Mlinzi wa pembeni wa England na Atletico Madrid Kieran Trippier kurejea ligi ya Primia wakati mchezaji huyo, 30, akisubiri uhamisho kuelekea Manchester United. Everton imewasilisha dau la …
Tetesi za soka barani Ulaya leo Alhamisi Mei 6,2021 zinasema:- Tetesi zinasema, Liverpool wamekubaliana kuhusu masharti binafsi na kiungo wa kati wa Ufaransa na RB Leipzig Ibrahima Konate, 21, anayejiandaa …
Tetesi zinasema Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino anataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero kwa uhamisho wa bure wakati kandarasi ya mchezaji huyo, 32 Manchester City itakapokamilika. Kocha …
Kocha wa Newcastle United – Steve Bruce yupo anaziwinda saini za wachezaji watatu wa Manchester United. Bruce anauhusiano mzuri na United akiwa na historia ya kuitumikia timu hiyo kati ya …
Tetesi zinasema Manchester City inakaribia kumsaini ‘Messi mdogo’ Dario Sarmiento. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 winga wa Argentina anaichezea klabu ya Estudiantes katika ligi ya nchi hiyo. …
Tetesi zinasema Juventus wameanza kufanya mazungumzo na wakala wa Paul Pogba, 27, Mino Raiola wakijiandaa kumsajili tena kiungo huyo wa kati wa Manchester. Mlinzi wa Chelsea na England Fikayo Tomori, …
Tetesi zinasema Arsenal na Liverpool wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Brighton na Mali Yves Bissouma, 24. Mlinzi wa Chelsea Mjerumani Antonio Rudiger, 27, na mlinzi wa England …
Tetesi zinasema Inter Milan watajiandaa kumuuza mlinzi Mslovakia Milan Skriniar, 25, kwa Tottenham kwa pauni milioni 45 mwezi ujao. Tetesi zinasema Mlinzi wa kati wa Uholanzi Perr Schuurs, 21, aliyehusishwa …
Waswahili husema, “akufukazaye hakwambii toka”. Ndio kilichotokea kwenye kikosi cha wachezaji wa Man United watakocheza UEFA msimu huu. Wachezaji watatu wa Man United wametemwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 watakoshiriki …
Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw ataukosa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup utakao ikutanisha timu ya Manchester United dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili katika dimba …