Brazil - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Eder Militao Kuikosa Brazil

La Liga

Mchezaji wa Real Madrid Éder Militão hataichezea Brazil mwezi huu kama Vinicious baada yakupata jeraha ambapo taarifa hiyo imetoka hii leo. Baada ya kufanyiwa vipimo vipya, mchezaji huyo amegundulika na …

Coutinho Arejea kwao Brazil

Daily News

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Barcelona, na Bayern Munich Philippe Coutinho amefanikiwa kujiunga na klabu ya Vasco da Gama ya nchini Brazil kwa mkopo akitokea klabu ya Aston …

Brazil Yatolewa COPA AMERICA

News

Brazil waliondolewa kwenye robo fainali ya Copa America na kumshuhudia mchezaji mpya wa Juventus, Douglas Luiz akikosa mkwaju wa penalti, huku mchezaji wa zamani wa Cagliari, Nahitan Nández akitolewa nje …

Ancelotti Aikataa Brazil Tena

La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Italia Carlo Ancelotti ameonekana kukanusha tena habari zinazomuhusisha yeye kujiunga na timu ya taifa ya Brazil. Ancelotti akifanya mazungumzo na …

Ancelotti Anukia Brazil

Daily News

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti inaripotiwa ananukia kunako timu ya taifa ya Brazil ambapo amekua akihusishwa kwa muda mrefu kuchukua kibarua cha timu hiyo. Ancelotti inatajwa yupo …

Ancelotti Akanusha Kuhusu Brazil

La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amekanusha tena taarifa kuhusu yeye kuchukua mikoba ya Tite na kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Brazil. Kocha Ancelotti kwa kipindi …

Brazil Bado Wanamuhitaji Ancelotti

Daily News

Timu ya taifa ya Brazil imeonesha bado haijakata tamaa kwa kocha wa Real madrid Carlo Ancelotti ambae wanataka aifundishe timu ya taifa ya nchi hiyo akirithi mikoba ya kocha aliyepita …

1 2 3 4 73 74 75