Brooklyn Nets - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kyrie Irving Aiokoa Brooklyn Nets

Basketball

Baada ya kuambulia kipigo kwenye michezo 4 mfululizo, Brookyn Nets imezinduka kwenye mchezo wa 5. Kyrie Irving ajiwekea rekodi yake binafsi. Kwa mara ya 3 kwenye maisha yake ya kucheza …

James Harden Ametua Brooklyn Nets.

Basketball

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, zilianza kusambaa fununu kuwa James Harden anachagiza kuondoka Rocket Houston na sasa yametimia, Brooklyn Nets yainasa saini ya Harden. Umekuwa ni usajili wa kushtukiza zikiwa ni …

Kevin Durant Ang’ara Na Nets.

Basketball

Pengine huu ndio msimu ambao tutaona utatu wa Brooklyn Nets ukionesha ubora wao. Kuelekea huko, Kevin Durant (KD) ameanza kuonesha njia. Wakati Nets ikiendelea kumkosa Kyrie Irving kutokana na suala …

NBA: Nets Wapindua Meza, Lakers Kipigo!

Basketball

Mzunguko wa pili kunako NBA umeendelea usiku wa kuamkia leo. Brooklyn Nets wamerudi mchezoni wakati LA Lakers wakiendelea kupoteza michezo yao. Nets walikuwa uwanjani kuchuana na Philadelphia 76ers. Baada ya …

NBA: Nets Kumkazia Kyrie Irving

Basketball

Kuelekea msimu mpya wa NBA 2021/22,  Brooklyn Nets huenda ikamkosa nyota wake, Kyrie Irving kwa muda usiojulikana. Hii ni baada ya Irving kuwa miongoni mwa wachezaji ambao hawajapata chanjo ya …

NBA: Nets Wafuzu Play-Offs 2020/21.

Basketball

Mambo yameanza kunoga kuelekea michezo ya Play-Offs kunako ligi ya NBA. Mchezo dhidi ya Toronto Raptors, umewafanya Nets kufuzu hatua ya mtoano mapema zaidi. Brooklyn Nets walikuwa uwanjani wakichuana na …

NBA: Nets Yawapiku 76ers Kibingwa.

Basketball

Unapozungumzia NBA unazungumzia msimu wa kawaida ambapo ni michezo ya Eastern na Western Conference, lakini utamu wa ligi hiyo unakuwa moto kwenye hatua ya play-offs. Michezo wa msimu wa kawaida …

NBA; Irving Ni Moto Mkali!

Basketball

Songombingo za kugoma kuchanja chanjo ya Covid-19 zimemfanya akose baadhi ya michezo kwenye NBA. Lakini, Kyrie Irving ni wa moto… Wakati huu ambao James Harden ameondoka Brooklyn Nets na kujiunga …

NBA: Curry Aokoa Jahazi vs Rockets.

Basketball

Kabla ya kuingia uwanjani dhidi ya Houston Rockets, Golden State Warriors walikua wamepoteza michezo 6 mfululizo kwenye NBA. Almanusura wapoteze mchezo wa 7 mfululizo, Stephen Curry ameokoa jahazi. Matokeo ya …

NBA: Antetokounmpo Ang’ara vs Warriors.

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu kunako Ligi ya NBA inaendelea! The Greek Beast, Giannis Antetokonumpo amekiwasha dhidi ya Golden State Warriors. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani wakichuana na Warriors katika muendelezo …

NBA: Suns Wamekata Kamba ya Warriors.

Basketball

Mambo yanazidi kunoga kunako NBA 2021/22, mtanange wa Phoenix Suns na Golden State Warriors, umetoa matokeo tofauti na  yaliyotarajiwa. Licha ya kumpoteza Devin Booker baada ya kupata majeruhi, Suns wamefanikiwa …

NBA: Antentokoumpo Awaadhibu LA Lakers.

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea viwanjani. Msimu wa 2021/22 kunako NBA ni visa na mikasa. Vipigo vya kila namna kwa wasiotegemewa kupoteza michezo. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na …

NBA: Vigogo Wamechana Mikeka.

Basketball

Kwa wadau wa kutengeneza faida kupitia mikeka, sio soka tu, hata NBA imewalaza watu njaa. Vigogo wameambulia vichapo kila mmoja kwa nafasi yake. Licha ya kuongoza kwa pointi 26, LA …

1 2 3 4