Bucks - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Bucks Wavuliwa Ubingwa wa NBA.

Basketball

Kama ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu. Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu ulioipita na wameendelea kufanya vizuri msimu …

NBA: Jazz, Bucks Warejea na Ushindi.

Basketball

Baada ya vipigo kwenye michezo iliyopita kunako NBA, Utah Jazz na Milwaukee Bucks wamerejea kwenye ushindi. Jazz walikuwa uwanjani kuchuana na Atalanta Hawks alfajiri ya leo. Jazz aliingia uwanjani akiwa …

NBA: Milwaukee Bucks Mabingwa 2020/21

Basketball

Hatimaye baada ya miaka 50, Milwaukee Bucks wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa NBA kwa mara ya kwanza. Suns wameangukia pua kwa mara nyingine. Giannis Antentokoumpo amekuwa kinara na muhimili mkubwa wa …

NBA: Bucks Wapindua Meza Nyumbani.

Basketball

Fainali ya NBA inaendelea kuchezwa kati ya Milwaukee Bucks na Phoenix Suns. Bucks wameanza vyema mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani. Baada ya Suns kushinda michezo 2 ya mwanzo wakiwa kwenye …

NBA: Suns Wameiadhibu Bucks X2

Basketball

Fainali ya NBA inaendelea ikiwa ni michezo 2 kati ya 7 mpaka sasa. Phoenix Suns wamewalaza na viatu Milwaukee Bucks kwa mara ya pili. Giannis Antetokounmpo alipachika pointi 42 kwenye …

NBA: Bucks Washinda vs Hawks, 3-2.

Basketball

Fainali ya NBA Western Conference imehitimishwa kwa ushindi wa Phoenix Suns, Eastern Conference bado ngoma ngumu. Bucks vs Hawks ni piga n’kupige. Mchezo wa 5 kati ya Milwaukee Bucks vs …

NBA: Hawks vs Bucks, Ngoma Droo.

Basketball

Ni vita isiyoumiza kunako muendelezo wa fainali ya NBA – Eastern Conference, Atlanta Hawks vs Milwaukee Bucks ngoma ndoo. Baada ya michezo 4, ubao wa matokeo ya mtanange huu unasoma …

NBA: Bucks Waendeleza Kipigo kwa Hawks

Basketball

Baada ya michezo 3, NBA Eastern Conference inaendelea kunoga. Atlanta Hawks wameambulia kipigo cha pili mfululizo dhidi ya Milwaukee Bucks. Bucks walipoteza mchezo wa kwanza vs Hawks, lakini wamerejea mchezoni …

NBA: Bucks Wajibu Mapigo Kwa Hawks.

Basketball

Muendelezo wa NBA Eastern Conference umefikia patamu, baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, Milwaukee Bucks wamerejea mchezoni. Hawks waliingia kwenye mchezo wa pili wakiwa wametoka kuwafunga Bucks kwenye mchezo wa …

NBA: Hawks vs Bucks, Part 1

Basketball

Mchezo wa kwanza wa fainali ya Eastern Conference kati ya Atlanta Hawks na Milwaukee Bucks umemalizwa kibabe. NBA msimu huu mambo ni tofauti viwanjani. Hawks wamemaliza mchezo kwa ushindi wa …

NBA: Bucks vs Nets, Game 7 Itaamua.

Basketball

Hakika NBA Eastern Conference imenoga, vita ya Milwaukee Bucks vs Brookyn Nets inaendelea. Safari hii, mchezo wa 7 utaamua nani mbabe. Baada ya michezo 6, matokeo yanasoma 3-3 baada ya …

NBA: Bucks na Mavericks Wametoka Kimasomaso

Basketball

Katika muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21. Milwaukee Bucks na Dallas Mavericks, wametoka kimasomaso katika michezo yao waliyocheza usiku wa kuamkia leo. Bucks wakiongozwa na Giannis Atentokounmpo, waliwalaza Indiana Pacers …

NBA: Celtics, Bucks Mambo Safii!!

Basketball

Mambo ni shwari kwenye viwanja kadha wa kadha kunako mchezo wa kikapu – NBA. Boston Celtics, Milwaukee Bucks na wengine kibao mambo ni safi. Ulikuwa ni kama mchezo wa marudiano …

1 2 3 4