Cedric Kaze - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

KAZE HATMA YAKE IPO KWA SINGIDA

SOKA LA BONGO

KOCHA Mkuu wa Namungo, Cedric Kaze baada ya kuiongoza timu yake kwa mechi tano akikusanya pointi tatu na kupoteza kumi amesema mchezo dhidi ya Singida Big Stars umeshikilia hatma yake, …

Kaze Aaga Rasmi Yanga

SOKA LA BONGO

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Cedric kaze amewaaga rasmi mashabiki, wanachama na viongozi wa timu hiyo mara baada ya kuachana na timu hiyo. Cedric Kaze atarudi nchini kwao Burundi kwenda …

Kaze: Kila Mchezo Kwetu Fainali

SOKA LA BONGO

Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Cedrid Kaze amesema kua klabu hiyo itacheza kila mchezo kama fainali ili kuhakikisha wanapata alama tau muhimu. Kocha huyo ameyazungumza hayo katika mkutano wa …

Kaze Apewa Yanga Princess

SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umetangaza kumuongeza majukumu kocha wao msaidizi wa timu ya wakubwa Cedric Kaze, ambaye atahudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Timu za Vijana pamoja na Yanga …

Kaze: Tunacheza kwa Malengo

SOKA LA BONGO

Kocha Msaidizi wa klabu ya Yanga Cedric Kaze amesema wanakwenda kuchez kila mchezo wakiwa na malengo. Ameyazungumza hayo akiwa anafanya mahojiano na wanahabri kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya …

1 2 3 4 5