Celtics Waingia Vitani Kumuwania Giannis
Boston Celtics wameibuka kwa nguvu katika mbio za kumuwania nyota wa Milwaukee Bucks, Giannis Antetokounmpo, na iwapo dili hilo kubwa litafanikiwa linaweza kuja na jambo kubwa linalomhusisha veterani Al Horford …

