Inter Yathibitisha Orodha ya Kikosi cha Champions League
Inter wamethibitisha orodha ya kikosi chao kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa, na kama ilivyotarajiwa walimwacha kiungo wa kati wa Italia Stefano Sensi. Nerazzurri waliwekwa katika kundi na Real …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Inter wamethibitisha orodha ya kikosi chao kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa, na kama ilivyotarajiwa walimwacha kiungo wa kati wa Italia Stefano Sensi. Nerazzurri waliwekwa katika kundi na Real …
Klabu ya PSG leo itashuka dimbani kuikaribisha klabu ya FC Bayern Munich kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ligi ya mnabingwa barani ulaya utakaopigwa dimba la Parc …
Uefa Champions League inarejea tena usiku wa leo na michezo kadhaa itapigwa katika viwanja tofauti tofauti yimu zikitafuta nafasi ya kufuzu katika hatua ya 16 katika ligi hiyo. Michezo hiyo …
Uefa champions league imerejea tena na kuanza kutimua vumbi leo tarehe sita ya mwezi wa tisa mwaka 2022. Pazia la ligi ya mabingwa barani ulaya ambalo linafunguliwa rasmi usiku wa …
Kiungo mpya wa klabu ya Tottenham Hotspur Yves Bissouma ameweka wazi kuwa haikuwa ngumu kwake kuwakubalia kwa sababu alitaka kutimizi ndoto yake ya kucheze kwenye michuano ya klabu bingwa barani …
Baada ya Al Ahly kuibuka mabingwa wa kombe la CAF Champions League kufuatia kutoa dozi takatifu ya 3-0, waandaaji wametoa kikosi bora cha michuano hiyo na Chama amekuwa miongoni mwao. …
Ile fainali kali ya ligi ya mabingwa Afrika CAF kupigwa leo pale Morocco ambapo mabingwa watetezi Al Ahly watakutana na Kaizer Chiefs. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa vijana …
Luis Suarez, ambaye kwa sasa yuko kwenye jukumu la timu ya taifa taifa ya Copa America, amezungumza juu ya matamanio yake na Atletico Madrid, baada ya kushinda taji la LaLiga …
Ulikuwa usiku wenye presha na shamra shamra nyingi sana, ambapo vita ya matajiri wa Uingereza katika ardhi ya Ureno ila ni Chelsea ndio walioshinda kwa goli moja tu na kupeleka …
Inajulikana kuwa kufanya vizuri kwenye Champions League kunaweza kuwa na faida kubwa kwa vilabu vinavyoshiriki. Manchester City na Chelsea watamenyana Jumamosi hii usiku kwenye fainali kubwa zaidi ya mpira wa …
Unai Emery amesema sasa anajipanga kunyanyua ndoo ya Champions League baada ya kuingoza Villarreal kushinda ubingwa wa Europa League siku ya Jumatano dhidi ya Manchester United. Villarreal iliwashangaza United katika …
Kipigo cha magoli 3 Kwa 0 kutoka Kwa AC Milan kimefanya vijana wa Andrew Pirlo, Juventus Turin kushuka hadi nafasi ya 5 ya msimamo wa Ligi Kuu Italia yani Serie …
Thomas Tuchel amekuwa kocha wa kwanza kufikia fainali ya Eauropen Cup au Ligi ya Mabingwa mara mbili mfululizo na vilabu tofauti hakuna kocha aliyewahi kufanya hivyo. Chelsea ilifunga Real Madrid …
Chelsea wamefanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuibwaga Real Madrid kwa 2-0 siku ya Jumatano na kukamilisha jumla ya magoli 3-1 katika hatua ya nusu fainali. Timu …
Wakati dunia ikiendelea kufurahia nusu fainali ya kombe la UEFA Champions League la wanaume na kushuhudia matokeo mbalimbali yasiyotegemewa, upande wa pili ligi hiyo hiyo kwa upande wa wanawake imeendelea …
Beki wa Simba Joash Onyango amesema ndoto yao kubwa ni kuhakikisha wanaleta nyumbani taji la Caf Champions League. Miamba hao wa msimbazi wamefurahia muendelezo mzuri kwenye kampeni hii wakiwa tayari …
Nyota Lionel Messi na Christiano Ronaldo kwa mara ya kwanza hawatoona timu zao zikiendedelea na michuano ya Champions League hatua ya robo fainali. Messi na Barcelona waliondolewa na PSG ashindano …
Amad Diallo analenga mafanikio ya Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa baada ya kumaliza uhamisho wake kwenda Manchester United. United ilikubaliana na Atalanta wa Serie A kwa winga mwenye umri …
Baada ya kupita miaka mitatu vita ya Barcelona na Paris Saint-Germain inarudi baada ya kupangawa katika hatua ya 16 bora siku ya Jumatatu katika Champions League. Miamba ya LaLiga Barca …
Olivier Giroud alikuwa shujaa wa mechi ya Chelsea kwa mara ya pili katika michezo mingi ya Ligi ya Mabingwa kwani alifunga mabao yote manne katika ushindi wa 4-0 dhidi ya …