Chelsea Andreas Christensen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Chelsea Wanamtaka Kounde Mapema Sana

Daily News

Chelsea wanasubiri ukamilisho wa kuuzwa kwa klabu hiyo ili waweze kusajili wachezaji na Jules Kounde anapewa kipaumbele cha kuletwa Darajani haraka iwezekanavyo. Kufuatia kuodoka kwa Antonio Rudiger kwenda Real Madrid …

Chelsea Wanaendelea Kutatizwa na COVID

Daily News

Meneja Thomas Tuchel anasema kuwa wanalazimika kuanza upya tena, baada ya kupanga kikosi na wachezaji kupatikana na maambuzi ya Covid. Tuchel sasa anapanga kuingiza wachezaji wengi wa Akademi dhidi ya …

Ronald Araujo Windoni kwa Chelsea

Daily News

Beki wa Barcelona Ronald Araujo ameripotiwa kuingia kwenye windo la Chelsea. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na Barcelona kutoka klabu ya Boston River ya Uruguay mwaka 2018. …

Chelsea Wapewa Ofa kwa de Ligt.

Daily News

  Kulingana na jarida maarufu la michezo Duniani, Goal imweripoti klabu ya Chelsea imepewa ofa na nafasi ya kumsajili beki wa kati wa Juventus, Matthijs de Ligt.   Juventus ipo …

1 2 3