Romelu Lukaku: Aweka wazi Mustakabali wake na Chelsea | Abainisha Uhusiano wake na Inter
Romelu Lukaku alifanya mahojiano marefu na Sky Sports Italia, ambapo aligusia mwaka wake mgumu Chelsea, kurejea kwake Inter, masaibu yake ya Kombe la Dunia na malengo ya siku zijazo. …