Christian Ericksen Atalipwa Mara 3 Akiwa United
Klabu ya Manchester United inaripotiwa kuwa wapo tayari kumnasa nyota wa Spurs Christian Ericksen ambaye atakula dili nono ikiwa atamwaga wino klabuni hapo. United wanatajwa kuwa wapo tayari kumlipa staa …