Christian Eriksen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Christian Eriksen Amesaini Man Utd?

News

Kiungo wa kimatiafa wa Denmark Christian Eriksen amehusiswha kujiunga na klabu ya Manchester United na kupewa mkataba wa miaka mitatu lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi zinazosibitisha hilo. Christian Eriksen …

Christian Eriksen Kuwavaa Newcastle United

Daily News

Kiungo wa klabu ya Brentford Christian Eriksen anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi kitakachocheza mchezo dhidi ya Newcastle United kwenye dimba la Brentford Community Stadium siku ya Jumamosi. Christian Eriksen leo alifanikiwa kucheza …

Inter Milan Kumuweka Sokoni Christian Eriksen

Euro 2020

Inter Milan wametangza kumuweka kiungo wao mshambuliaji Christian Eriksen sokoni kutokana na sheria za Serie A zinazomzuia kutokucheza mashindano yeyote kwenye ardhi ya Italia. Christian Eriksen ambaye alianguka kwenye mchezo …

Christian Eriksen Atatua Borussia Dortmund?

Daily News

Borussia Dortmund wanatajwa kuwa wanafikiria kujiandaa kumfukuzia Christian Eriksen mwezi Januari. Mabingwa hawa wa Ujerumani walikuwa wanahusishwa na nyota huyu mwezi Oktoba, lakini dili halikuweza kukamilika. Taarifa zinasema dili hili …

Christian Eriksen : Sitaki Kukaa Benchi

Daily News

Aliyekuwa nyota wa Tottenham, Christian Eriksen  ameweka wazi kuwa hataki tena kuendelea kukaa benchi katika timu yake ya sasa ya Inter Milan. Christian Eriksen alikamilisha uhamisho wake kutoa Tottenham kwenda …

Eriksen Achukizwa Kukaa Benchi

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Denmark Christian Eriksen amefunguka kua anachukizwa na yeye kutokupata muda wa kucheza ndani ya klabu hiyo kwasasa. Kiungo Eriksen amesema …

Eriksen Atuliza Mashabiki Ujio wa Rasmus Hojlund

News

Christian Eriksen amewaambia mashabiki wa Manchester United kitu gani watarajie kutoka kwa mshambuliaji anayekuja Rasmus Hojlund. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Alipoulizwa jinsi mtani wake …

1 2 3 4 5 6 7