Copa del Rey - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Pedri Kuikosa Copa del Rey

Daily News

Nyota wa Barcelona, Pedri atashindwa kuwa sehemu ya mechi ya Jumatano ya Copa del Rey kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya Sevilla. Kinda huyu wa miaka 18, ambaye amekuwa …

Real Wanaendelea Kuwa Wateja!

Football

Real Madrid wameshindwa kulipa kisasi, badala yake wanaendelea kuwa wateja tu kwa Barcelona baada kukubali tena kichapo cha bao 1-0 kwenye dimba lao kutoka kwa Barcelona! El clasico iliyopita Real …

1 2 3 4 8 9 10