Adhabu ya Cristiano Ronaldo Ipo Pale Pale
Baada ya shutuma zinazoendelea mitandaoni kuhusu staa wa Ureno na klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo, kushangilia kwa mtindo ambao umekosolewa vikali na kupelekea mamlaka za soka Saudi Arabia kuanza …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Baada ya shutuma zinazoendelea mitandaoni kuhusu staa wa Ureno na klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo, kushangilia kwa mtindo ambao umekosolewa vikali na kupelekea mamlaka za soka Saudi Arabia kuanza …
David de Gea sasa analengwa na klabu ya Cristiano Ronaldo ya Saudi Pro League ya Al-Nassr. Mkataba wa mlinda mlango huyo wa Uhispania na Manchester United ulimalizika Julai 1, …
STAA mkubwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kurejea Real Madrid, miezi mitatu tu baada ya kusajiliwa na Al Nassr. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na …
Cristiano Ronaldo amesisitiza kuwa yeye ni mtu bora licha ya kupitia changamoto ya maisha yake ya soka katika kipindi chake cha pili akiwa Manchester United. Odds kubwa za soka unazipata …
Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Aston Villa Joe Cole amedai kuwa mafanikio ya Lionel Messi katika Kombe la Dunia akiwa na Argentina yamemaliza mjadala kuhusu yeye kuwa mchezaji bora …
Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, Cristiano Ronaldo yuko tayari kutoa ushahidi na kuzungumza na Waendesha Mashtaka wa Turin katika uchunguzi wa kifedha unaohusisha mishahara ya Juventus. Nyota …
Iwapo unadhani kukodisha Hotel huko London ni ghali, Cristiano Ronaldo na Georgina Rodriguez watakuwa wakilipa £250,000 sawa na TZS 712m, kwa mwezi kwenye hoteli yao huko Saudi Arabia. Meridianbet ni …
Klabu ya Al Nassr imeripotiwa kusitisha mkataba wa Vincent Aboubakar ili kutoa nafasi kwa Cristiano Ronaldo, huku klabu ya Manchester United Ikihusishwa na mchezaji huyo wa Cameroon. Odds ni kubwa …
Cristiano Ronaldo na Georgina Rodriguez wataruhusiwa kuishi pamoja nchini Saudi Arabia, licha ya sheria za nchi hiyo kuwakataza watu wasiofunga ndoa kufanya hivyo. Unaweza kubashiri Mubashara na Meridianbet. Mchezaji …
Ronaldo: Kwa mujibu wa Marca, kipengele kimeingizwa katika mkataba wake na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia ambacho kinaweza kumruhusu mshambuliaji huyo mkongwe siku moja kufufua mapenzi yake kwa mashindano …
Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Manchester United na Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ni rasmi amejiunga na klabu ya Al-Nassr ya nchini Saudi Arabia kwa mkataba wa miaka miwili …
Mashabiki wa Uingereza hawataweza kumtazama Cristiano Ronaldo akiichezea Al-Nassr kwani Saudi Pro League haina mpango wa haki za matangazo ya TV nchini Uingereza. Cristiano Ronaldo amejiunga rasmi na klabu …
Cristiano Ronaldo ameandikiwa matibabu katika klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia, kulingana na ripoti. Tangu kuondoka kwake Manchester United, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 amekuwa akihusishwa na …
Cristiano Ronaldo atasaini mkataba wa £175m kwa mwaka na klabu ya Saudi Arabia Al Nassr kabla ya mwisho wa mwaka, kulingana na jarida Marca. Mkataba wa Ronaldo mwenye umri wa …
Toni Kroos alipuuza ‘kanuni’ iliyomhusisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Real Madrid Cristiano Ronaldo siku chache tu baada ya ushindi wa kwanza wa Lionel Messi wa Kombe la Dunia. Kiungo …
Kocha wa Manchester United Erik ten Hag anaonekana kuwasha taa za kijani katika juhudi za kumnasa Cody Gakpo kutoka PSV Eindhoven. Ushindani unatarajiwa kuwa mkali kwa Mholanzi huyo baada ya …
Cristiano Ronaldo hatarejea Lisbon siku ya leo Jumapili baada ya nchi yake kutolewa katika robo fainali kutoka Qatar 2022 dhidi ya Morocco. Ronaldo ameandamana na wachezaji wengine tisa kusalia …
Fernando Santos kwa mara nyingine tena ameamua kumwacha Cristiano Ronaldo kwenye benchi. Ronaldo, mwenye umri wa miaka 37, alitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji mbadala wa timu yake ya taifa kwenye …
Dadake Cristiano Ronaldo anadai bosi wa Ureno Fernando Santos ‘alimdhalilisha’ kaka yake aliyewekwa benchi Kombe la Dunia wa kumuacha nje ya kikosi cha XI. Ronaldo alitajwa kuwa miongoni mwa …
Cristiano Ronaldo amevunja ukimya wake kuhusu ripoti zinazomhusisha na kuhamia klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia akisisitiza kuwa ‘sio kweli’. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 aliondoka …