Mata: Ninapofikiria Ligi ya Mabingwa… Lazima Awe Drogba
Juan Mata amemtaja Didier Drogba kuwa ndiye mchezaji mwenzake bora aliyecheza naye pamoja kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Lionel Messi ndiye mpinzani anayeheshimika zaidi wa Mhispania huyo. Drogba, …

