EPL - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Southampton Yarejea Epl

Daily News

Klabu ya soka ya Southampton imefanikiwa kurejea kwenye ligi kuu ya Uingereza kwenye msimu wa 2024/25 baada ya kuitupa nje klabu ya Leeds United kwenye mchezo wa mtoano. Southampton leo …

Manchester City Yakaaa Kileleni Epl

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kuifunga klabu ya Luton Town kwa jumla ya mabao matano kwa moja. Manchester …

Smith Rowe Awindwa na Vilabu vya EPL

Daily News

Newcastle na Aston Villa wanaongoza katika mbio za kumsajili Emile Smith Rowe kutoka Arsenal msimu huu wa joto. Football Insider inaripoti kwamba vilabu hivyo vinatarajiwa kuwasiliana na The Gunners kuhusu …

Manchester United Yatamba Novemba Epl

Daily News

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu ya Uingereza ambapo wamefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika ligi hiyo kwa mwezi Novemba. Manchester United imetwaa tuzo ya mchezaji bora …

Liverpool Wasogea Mpaka Wapili Epl

Daily News

Klabu ya Liverpool imefanikiwa kufika mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya klabu ya Brentford. Liverpool wakiwa …

Tottenham Yakaa Kileleni Epl

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kushinda mchezo wao mchana huu kwa bao moja kwa bila dhidi ya Lutton Town. …

1 2 3 4 75 76 77