Ecuador Yaanza Vyema Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Ecuador imeanza vyema michuano hii ya Kombe la Dunia baada ya kuitungua kwa mabao 2-0 Qatar ambaye ndiye mwenyeji wa michuano hii nyumbani kwake katika uwanja …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Timu ya Taifa ya Ecuador imeanza vyema michuano hii ya Kombe la Dunia baada ya kuitungua kwa mabao 2-0 Qatar ambaye ndiye mwenyeji wa michuano hii nyumbani kwake katika uwanja …
FIFA imemwita mchezaji wa kimataifa wa Ecuador Byron Castillo kusikiliza kesi yake siku ya Alhamisi jijini Zurich Uswisi ilikuthibitisha uhalali wake wa utaifa kutoka na mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni. Kwenye …
Timu ya taifa ya Ecuador imejihakikishia nafasi yake ya ushiriki wa kombe la dunia baada ya FIFA kufunga kesi ya malalamiko ya kumchezesha mchezaji asiyepaswa kuchezwa kwenye taifa hilo. FIFA …
Chile wamepeleka mashitaka kwenye shirikisho la mpira wa miguu duniani kwa kuiomba timu ya taifa ya Ecuador iondolewe kwenye mashindano ya kufuzu kombe la dunia kwa kudai kuwa mlinzi Bryan …
Timu za taifa za Uruguay na Ecuador zimefanikiwa kukata tiketi ya kwenda Qatar ambako fainali za michuano ya kombe la Dunia zimepangwa kufayika mwezi Novemba mpaka Disemba mwaka huu. Ecuador …
Gianluca Scamacca amekuwa mchezaji wa kwanza wa Italia kufunga bao la ugenini dhidi ya Liverpool lakini Pierluigi Casiraghi alikuwa tayari ameshafunga mara mbili uwanjani Anfield kwa Azzurri kwenye Euro 96. …
Beki wa pembeni wa Torino, Raoul Bellanova alivutia sana kwenye mchezo wake wa kwanza wa Italia, huku Chelsea, Manchester United, West Ham na Aston Villa zikimfuatilia. Mchezaji huyo mwenye umri …
Nicolò Barella alisherehekea mchezo wake wa kwanza kama nahodha wa Italia kwa kufunga bao adimu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ecuador. ‘Huu ni mwanzo mpya’ chini ya Luciano Spalletti. …
Luciano Spalletti amesema kuwa anahakikishia wengi wa wachezaji ambao wamecheza jana watakuwa sehemu ya kikosi cha mwisho cha Euro 2024, lakini anaacha milango wazi kwa wengine, ikiwa ni pamoja na …
Mlinzi wa zamani wa Juventus Giorgio Chiellini aliunganishwa tena na kikosi cha timu ya taifa ya Italia wakati wa ziara ya timu hiyo mjini New York kama sehemu ya ziara …
Kocha wa Italia, Luciano Spalletti anasisitiza kwamba Azzurri lazima isiwe ya juu juu ‘bila kujali mfumo’ na anamsifu Mateo Retegui: ‘Wale wanaofunga daima hutoa kitu zaidi.’ Italia ilipata ushindi wa …
Gianluigi Donnarumma anajiandaa kwa majaribio ya mbinu ya Italia dhidi ya Venezuela na Ecuador, kisha anakiri ‘kucheza na mpira miguuni mwako ni jambo la msingi’ sasa. The Azzurri itamenyana na …
Kocha wa Italia, Luciano Spalletti alizungumza kwa sauti kubwa katika mkutano wake na waandishi wa habari akiwaomboleza wachezaji ambao ‘hukesha usiku sana wakitumia muda wao kucheza PlayStation’ kwenye majukumu ya …
Kiungo wa klabu ya Chelsea Moises Caicedo imeelezwa amepata majeraha ya goti na hataweza kupatikana katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya Bournamouth. Kocha Mauricio Pochettino wakati anaongea na …
Jimmy Floyd Hasselbaink anaamini kuwasili kwa Moises Caicedo ni dhibitisho zaidi ya kuendelea kukua kwa Chelsea licha ya mechi ngumu ya kiungo huyo dhidi ya West Ham. The Blues …
Chelsea wamekamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa Moises Caicedo kutoka Brighton kwa dau la pauni milioni 115. Kiungo huyo wa kati wa Ecuador mwenye miaka 22, alikaribia kujiunga …
Kocha wa klabu ya Brighton Hove and Albion Roberto de Zerbi amesema kiungo wa klabu hiyo Moises Caicedo ataendelea kusalia klabuni hapo mpaka mmiliki wa klabu atakapobadilisha mawazo. Kocha De …
Klabu ya Chelsea inaripotiwa kukaribia muafaka na klabu ya Brighton kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ecuador Moises Caicedo. Chelsea ambao walikataliwa dau lao juu ya …
Moises Caicedo yuko tayari kuondoka Brighton lakini kiungo huyo bado hajajua anakwenda wapi mpaka sasa huku kukiwa na uvumi wa kuhamia kati ya United au Cheslea, Arsenal pia ikihusishwa. …
Arsenal wamewatangulia wapinzani wao wa London Chelsea katika mbio za kumnasa kiungo wa Brighton Moises Caicedo. Caicedo mwenye miaka 21, anatarajiwa kuwa moto katika dirisha la usajili la majira …