Ed Woodward - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Namba 4 za Ed Woodward

Football

Baada ya kipindi cha fungate cha kocha wa mpito wa United, Ole Gunnar Solskjaer kuisha kutokana na kupokea kichapo kutoka kwa mabingwa wa Ufaransa PSG katika hatua ya 16 bora …

Woodward Aondoa Utata Man United.

Daily News

Ukisikia ile kauli ya “usiyempenda kaja” ndio kilichotokea. Mashabiki wa Man United kwa kiasi kikubwa hawamkubali Mkurugenzi wa timu hiyo – Ed Woodward, na amekuja na habari ambayo pengine itawaumiza …

Mkurugenzi Man United Kujiuzulu

Daily News

Taarifa mbalimbali kutoka ndani ya klabu ya Man United zinaeleza kua mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Richard Arnold huenda akajiuzulu majukumu yake ndani ya timu hiyo kutokana na sakata la …

Mapinduzi Makubwa Man United.

Daily News

Kwa miaka ya hivi karibuni, Manchester United imekuwa na misukosuko ya kila namna, ndani na nje ya uwanja. 2021/22 mapinduzi yameanza. Toka Sir Alex Ferguson amestaafu kuiongoza klabu hiyo, Man …

United: Upepo Wa Ten Hag Unavuma Kwa Kasi.

Daily News

Wazungu wanaita “public opinion”, huku kwetu bongoland tunasema ni upepo/mtazamo wa jamii. Man United wapo kwenye nyakati hizi. Amahakika, upepo wa kumsaka kocha mpya wa Manchester United unavuma kuelekea Uholanzi …

Richard Arnold, CEO Mpya Man United.

Daily News

Baada ya takribani miaka 9, Manchester United inakwenda kuanza maisha mapya bila Ed Woodward. Richard Arnold kuiongoza United. Kabla ya msimu wa 2020/21 kuisha, iliripotiwa taarifa rasmi kutoka Man United …

Marc Skinner Kocha Mkuu Man United

News

Kocha wa zamani wa Birmingham Marc Skinner ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Manchester United kwa upande wa wanawake. Skinner alitangaza kujiuzulu wadhfa wake huko Orlando Pride wiki …

1 2 3 4