Eddie Hearn - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Hearn: Tyson Fury Amemkwepa Oleksandr

Boxing

Eddie Hearn amedai kuwa Tyson Fury alikataa nafasi ya kupigana na Oleksandr Usyk kwenye pambano liisilopingika. Promota huyo wa masumbwi aliendelea kutaja kuwa Muingereza huyo badala yake alipendelea pambano la …

Hearn: AJ vs Usyk Septemba 25,2021.

Boxing

Baada ya pambano la Anthony Joshua (AJ) vs Tyson Fury kubuma, Eddie Hearn atangaza ujio wa pambano la lazima kwa AJ vs Oleksandr Usyk. Fury amelazimika kuchuana na Deontay Wilder …

Tyson Fury:AJ Agoma Kusaini Mkataba

News

Tyson Fury ameendelea kumwita Anthony Joshua kwenye pambano lao lililopendekezwa la Vita vya Uingereza, safari hii akiongoza umati wa mashabiki katika wimbo wa kumtaka Mwingereza huyo wa uzito wa juu …

Usyk Kupigana na Deontay Wilder

News

Usyk:Kufuatia ushindi wake dhidi ya Anthony Joshua, pambano la pili la Oleksandr Usyk ni dhidi ya Deontay Wilder na promota Eddie Hearn anadhani Mukreini huyo atashinda kwa raha. Haijapita muda …

Benn Anawaza Kumpiga Amir Khan kwa KO tu!

Daily News

Conor Benn anataka kumpeleka Amir Khan ‘kwenye ustaafu’ katika pambano litakalo wakutanisha Waingereza na anaamini anahitaji tu ngumi moja kwaajili ya knockout. Bondia huyo wa miaka 24 ambaye hajapigwa alitoa …

Masumbwi: Pambano la AJ vs Fury Linanukia.

Boxing

Moja pambano linasubiriwa na mashabiki wengi wa mchezo wa masumbwi/ndondi ni mtanange kati ya Anthony Joshua [AJ] vs Tyson Fury. Hili litatokea siku sio nyingi. Kumekuwa na taarifa zinazokinzana mara …

1 2