Zidane Aungana na Alpine ya F1 Kama Balozi wa Chapa
Zinedine Zidane ameshirikiana na timu ya Formula 1 Alpine kama balozi wa chapa kwa programu na fursa zao. Tangazo hilo lilitolewa katika uzinduzi wa gari la timu ya Ufaransa …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Zinedine Zidane ameshirikiana na timu ya Formula 1 Alpine kama balozi wa chapa kwa programu na fursa zao. Tangazo hilo lilitolewa katika uzinduzi wa gari la timu ya Ufaransa …
Ni dhahiri, ubingwa wa Formula 1 (F1) mwaka 2021 bado ni gumzo miongoni mwa mashabiki wa mchezo huo. Haki ilitendeka au iliminywa mahali? Mvutano mkali wa maamuzi ya mchezo huo …
Dereva wa Urusi Nikita Mazepin hatashiriki mbio za Formula 1 msimu huu baada ya Haas kuthibitisha kuwa wamesitisha mkataba na dereva huyo. Timu inayomilikiwa na Marekani ya Haas …
Bingwa wa dunia wa Formula 1, Max Verstappen amekubali mkataba mpya wa muda mrefu na timu ya Red Bull huku mkataba huo ukitarajiwa kusainiwa mwishoni mwa wiki hii. …
FIA yathibitisha kumuondoa Michael Masi kwenye nafasi ya ukurugenzi wa mashindano ya Formula 1 kufuatia uchunguzi uliofanyika wakati akisimamia mashindano ya Abu Dhabi Grand Prix. Kuanzia sasa nafasi ya ukurugenzi …
Baada ya sintofahamu kwenye fainali ya Formula 1 mwaka 2021 ambapo Max Verstappen kuibuka na ushindi kwenye mashindano hayo akimzidi mbabe huyo wa F1 Lewis Hamilton FIA ilianza uchunguzi kufuatia …
Bingwa mara nne kwenye mashindano ya F1 Sebastian Vettel anaamini Michael Masi anapaswa kubakishwa kwenye nafasi yake ya ukurugenzi wa mashindano japokuwa alifanya maamuzi ya utata kwenye fainali ya mashindani …
Timu ya Aston Martin Aramco Cognizant inayoshiriki mashindano ya F1 leo wametambulisha gari yao mpya itakayotumia injini ya AMR22 ambayo watakayoitumia kwenye mashindano ya Formula 1 2022. Aston Martin ni …
Dereva wa magari ya mbio za langalanga kutoka kwenye timu Mercedes inayoshiriki mashindano ya F1 Lewis Hamilton ametoa neno baada ya kuwa kimya kwa muda refu. Hamilton ambaye alikuwa kimya …
Wakati dunia ikiendelea kupambana na kirusi cha Covid-19, mwaka 2022 kwenye mashindano ya Formula 1 (F1), kuchanja ni lazima. Suala la chanjo ya uviko-19 limekuwa ni gumzo sehemu nyingi ulimwenguni. …
FIA, kwa mara ya kwanza wamekubali kuwa teuzi ya hixi karibuni ya mkurugenzi Peter Bayer kunaweza kufanya Michael Masi kutorejea tena mwaka huu kama mkurugenzi wa mashindano ya F1 Peter …
Timu ya Aston Martin leo wamemtambulisha na kumchagua Mike Krack kuwa kiongozi mpya wa timu hiyo ambapo anakwenda kuchukua nafasi ya Otmar Szafnauer ambaye ameondoka hivi karibuni. Kabla ya kujiunga …
Nyota wa timu ya Mercedes Lewis Hamilton amekuwa kimya kwa muda mrefu tokea kumalizika kwa mashindano ya mwisho mwaka jana disemba jijini Abu Dhabi ambapo kulitokea sintofahamu nyingi kwenye mashindano …
Baada ya kuibuka sintofahamu kuhusu ushindi wa Formula 1 kwa Max Verstappen, timu ya Mercedes imeamua kuachana na mpango wa kukata rufaa kupinga matokeo. Mbio za Abu Dhabi ziligubikwa na …
Max Verstappen amekuwa na kiwango kizuri msimu huu huku jana kwenye mashindano ya kutafuta nafasi ameweza fanya vizuri kwa kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye Abu Dhabi Grand Prix mbio zinazofanyika …
Lewis Hamilton na Max Verstappen wanaenda kumaliza msimu ndani ya jiji la Abu Dhabi kwenye falme za kiarabu kwenye mashindano ya mbio za magari za formula 1 wikiendi hii Awali …
Kama ambavyo nchi zinavyowania nafasi ya kuendesha mashindano ya Kombe la Dunia, ni vivyo hivyo kwenye Formula 1 [F1], Spanish GP mambo safi! Uhispania sasa ni uhakika, watakua kwenye kalenda …
Nyota wa mbio za magari Lewis Hamilton alishinda Qatar Grand Prix huko Losail International Circuit siku ya Jumapili akimshinda mpinzani wake wa Red Bull Max Verstappen. Hamilton aliongoza kutoka kuanza …
Kwa mujibu wa Fernando Alonso, ni rahisi zaidi kwa dereva muingereza kutwaa taji la F1 baada ya mchaka mchaka wa mechi kadhaa. Alonso, yeye amekuwa bingwa wa dunia wa Formula …
Hakika, huu ni msimu ambao Formula 1 inashuhudia upinzani mkubwa kati ya Lewis Hamilton vs Max Verstappen. Madereva wawili wanaowania ubingwa 2021. Zikiwa zimesalia mbio 5 tu kumaliza msimu wa …