Liverpool Wanamhitaji Phillips Huku Fabinho Akikaribia Kwenda Saudi
Liverpool wanatazamia kutaka kumnunua Kalvin Phillips ambaye ni kiungo wa Manchester City huku Fabinho akikaribia kuhamia Saudi Arabia. Kiungo huyo Mbrazil Fabinho aliachwa nje ya kikosi cha Jurgen Klopp …