Marekani Kutumia “FIFA Pass” Kombe La Dunia 2026
Marekani imetangaza mfumo maalum wa viza kwa mashabiki watakaosafiri kwenda kushuhudia Kombe la Dunia la 2026. Mfumo huo mpya, unaojulikana kama “FIFA Pass”, umeanza kufanya kazi rasmi wiki hii ukiwa …

