Floyd Mayweather Kupambana na Logan Paul
Pambano la Floy Mayweather na Logan Paul litakuwa ni pambano la maonesho tu. – Carl Froch Kwa mujibu wa Carl Froch, ni kuwa tetesi za pambano la Floyd Mayweather dhidi …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Pambano la Floy Mayweather na Logan Paul litakuwa ni pambano la maonesho tu. – Carl Froch Kwa mujibu wa Carl Froch, ni kuwa tetesi za pambano la Floyd Mayweather dhidi …
Huyu ndiye Floyd Mayweather, ni bondia tajiri anayependa kuwaonyesha watu wote utajiri wake. Hii ni hulka ya mastaa wengi kupenda waonekane wana pesa, pengine sio mastaa tu bali asilimia kubwa …
Bondia Floyd Mayweather ameomba kulipia mazishi ya Mmarekani mweusi aliyeuawa akiwa mikononi mwa polisi George Floyd. Kifo cha George Floyd kimeigusa jamii kubwa ya Waafrika weusi, wanamichezo na wanaharakati wengi …
Mnamo tarehe 24 mwezi February mwaka 1977 katika jiji la Michigan nchini Marekani alizaliwa Floyd Joy Mayweather bingwa wa dunia wa mkanda wa uzito wa kati na mwanamichezo Tajiri zaidi …
FLOYD MAYWEATHER alimtoa Mikuru Asakura katika raundi mbili za pambano lao la maonyesho, mbele ya mpinzani wa zamani Manny Pacquiao. Nyota wa Ufilipino, PacMan alisafiri hadi Saitama, Japan, kwa ajili …
Floyd Mayweather amethibitisha kuwa mechi ya marudiano ya 2023 na Conor McGregor, iko mbioni na kusema kwamba pambano hilo la marudiano linalotarajiwa sana linaweza kuwa pambano la kulipwa. Imepita takriban …
Gwiji wa ndondi Floyd Mayweather alikuwa mmoja wa watu wachache waliopenda nafasi za Dmitry Bivol dhidi ya Saul Canelo Alvarez mapema mwaka huu. Nyota huyo wa Mexico alitarajiwa kuwa bingwa …
King of Boxing! Floyd Mayweather ametangaza kurejea ulingoni katika pambano la maonyesho dhidi ya Lejendari MMA wa Japan, Mikuru Asakura. Promota wa pambano hilo amesema wanapanga kufanya pambano hilo …
Mhamasishaji wa mtandao wa YouTube, Logan Paul amesema kuwa anatarajia kumpeleka bondia Floyd Mayweather Jela kwa kushindwa kukamilisha malipo yake. Logan Paul na Floyd Mayweather walikutana ulingoni Juni mwaka 2021, …
Bondia mkongwe Floyd Mayweather amefunguka kiu yake ya kutaka kumsajili bondia huru Terence Crawford baada ya mwanamasumbwi huyo kumaliza kandarasi yake na Top Rank mwaka uliyopita. Akiongea na Ben Thompson …
Bondia mstaafu, Floyd Mayweather anatarajiwa kurejea ulingoni mnamo Mei 14, 2022 kupigana na Don Moore katika Pambano la raundi nane la maonyesho litakalofanyika Dubai. Mayweather, 45 atapigana na mpinzani …
Bondia mstaafu Floyd Mayweather anaweza kurejea ulingoni kwa kuzichapa na Badou Jack huko Dubai na alisema kwamba mazungumzo yanaendelea kwaajili ya kufanikisha tukio hilo. Mazungumzo kuhusu pambano lake na bondia …
Njomba wa Mayweather Jr, Jeffy Mayweather amemsimfu sana bondia kwa kukua katika mchezo wa ndondi na akithubutu kumringanisha na mpwa wake. Saul Canelo Alvarez anajiandaa kukabiliana na Dmitry Bivol siku …
Bingwa dunia wa zamani wa uzito wa kati Floyd Mayweather anafikiria kurudi tena ulingoni, kumenyana na MwanaYouTube, Money Kicks. Licha ya kukaribia kutimiza miaka 45, Mayweather Jr ameonyesha hamu ya …
Cesar Chavez anataka kupigana na Floyd Mayweather Jr. Mabingwa hao wawili walikutana kwenye kongamano la World Boxing Council huko Mexico na kutaniana kuhusu pambano la siku zijazo. Gwiji huyo wa …
Floyd Mayweather baada ya pambano la maonyesho na Logan Paul, sasa anaandaa mpinzani wake mwingine Jake Paul. Mvutano kati ya wawili hao umeongezeka hivi karibuni baada ya Jake Paul kuiba …
Promota nguli wa masumbwi, Eddie Hearn amemtambua Logan Paul kama mshindi katika pambano la kujifurahisha dhidi ya Floyd Mayweather liliopigwa wikiendi iliyopita. Logan aliweza kummudu Mayweather katika pambano la …
Mbabe wa masumbwi Floyd Mayweather Jr amekutana na kisiki asichokitarajia cha Logan Paul katika pambano la ndondi la kujiburudisha lililomalizika bila kupatikana mshindi. Paul, ambaye ni maarufu kwenye mtandao …
Katika hafla ya kupima uzito ambayo ilifanyika Miami, Floyd Mayweather aliingia kwa kilo 70.3, na YouTuber Logan Paul akiikandamiza mizani kwa kilo 85.9 kabla ya pambano lao la maonyesho, ambayo …
Floyd Mayweather amemsihi Enrrol Spence Jr. kuwa makini pale atakapo kabiliana na Manny Pacquiao katika pambano lao la mwezi Agosti 21 mwaka huu. Pacquiao hajapigana tanghu mwaka 2019 na kwa …