Coventry City ya Frank Lampard Yapanda Ligi Kuu ya Uingereza
Frank Lampard alisifu usiku “maalum” kwa Coventry City na kueleza furaha yake kwa kuwapa mashabiki kile alichokiita “usiku wa maisha yao” baada ya klabu hiyo kuthibitisha kupanda moja kwa moja …

