Gasperini - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Atalanta Inakaribia Kumpata Buongiorno

Daily News

Atalanta wamekubali masharti ya mkataba wa Alessandro Buongiorno na Torino wanakaribia kuwachukua Duvan Zapata na Brandon Soppy.   La Dea wamefanya kazi kwa bidii ili kuimarisha kikosi chao msimu huu …

Ademola Lookman Awindwa Barani Ulaya

Serie A

Nyota wa klabu ya Atalanta Ademola Lookman amekua moja ya wachezaji wanaozivutia klabu mbalimbali barani ulaya kutokana na ubora ambao amekua nao mchezaji huyo. Staa huyo wa kimataifa wa Nigeria …

Zapata Haendi Popote kwa Mkopo

Serie A

Klabu ya soka Atalanta imevieleza vilabu vya Uingereza kua mshambuliaji wake matata Duvan Zapata hataendi klabu yeyote ya nchini kwa mkopo dirisha hili la mwezi Januari. Duvan Zapata mshambuliaji wa …

Atalanta Kuwafuata Monza.

Daily News

Klabu ya Atalanta ya nchini Italy leo hii itawafuata timu ya Monza ambayo imepanda daraja msimu huu ambapo watacheza mchezo wao wa tano pale Serie A, majira ya saa moja …