Gianluigi Donnarumma - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Donnarumma Aomba Msamaha

Champions League

Golikipa wa timu ya PSG Gianluigi Donnarumma amekosolewa vikli na vyombo vya habari nchini Ufaransa baada ya kuonesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya siku ya jumatano …

Neymar na Donnarumma Kidogo Wazichape

Daily News

Neymar na Gianluigi Donnarrumma ilibidi watenganishwe na wachezaji wenzao wa Paris Saint-Germain kwenye vyumba vya kubadili nguo baada ya hasira baada ya wachezaji hao kuingia katika mzozo kufuatia timu hiyo …

Donnarumma Kaaga Milan

Daily News

Golikipa wa AC Milan Donnarumma anaripotiwa kuwa tayari ameshawaaga wachezaji wenzake baada ya ushindi wa Atalanta dhidi ys Inter Milan. Tuttorsport waliripoti kuwa Mino Raiola hajafurahishwa na ofa ya Milan …

Pagliuca: Natarajia Donnarumma Kusalia Milan

Daily News

Golikipa wa zamani wa Italia Gianluca Pagliuca anamtarajia Gianluigi Donnarumma kusaini mktaba mpya na kuendelea kusalia Milan. Donnarumma anatarajia kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na bado hajakubali kuongeza …

Donnarumma Aanza Mazungumzo na Chelsea.

Daily News

  Dirisha dogo la mwezi januari limefunguliwa, Taarifa zinasema mlinda mlango wa AC Milan, Gianluigi Donnarumma, 21, ameanza mazungumzo na klabu ya Chelsea. Kulingana na mwanahabari Simon Phillips amedai kuwa …

1 2 3 4 5