Houssem Aouar - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Houssem Aouar Hajutii Kubaki Lyon

Daily News

Licha ya kuhusishwa na vilabu kama Arsenal, Juventus na PSG, tulishuhudia Houssem Aouar akibaki Olyimpique Lyonnais kwa msimu mwingine. Uwezo wake wa kutawala safu ya kiungo ni kati ya vitu …

Aouar Kuitumikia Algeria Rasmi

Daily News

Kiungo wa klabu ya Olympigue Lyon inayoshiriki ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 Houssem Aouar ataitumikia timu ya taifa ya Algeria rasmi kuanzia sasa. Kiungo huyo ambaye ni …

Arsenal Wakomaa na Usajili wa Aouar.

Daily News

Kulingana na mwandishi wa habari za michezo Fabrizio Romano, Klabu ya Arsenal bado inavutiwa kutaka kumsajili mchezaji wa Lyon Houssem Aouar. Gunners ilishindwa kufikia makubaliano na kiungo huyo msimu uliopita …

Aouar: Mbona Safi Tu Hapa Hapa Lyon.

Daily News

Houssem Aouar amesema jinsi anavyo jivunia kuichezea Lyon baada ya mpango wa kwenda Arsenal kutofanikiwa wakati wa dirisha la usajili. The Gunners walikuwa katika tetesi kubwa za kumnasa kiungo huyo …

Lukaku Aelezea Hali Nzuri ya Roma

Serie A

Romelu Lukaku anaelezea kwa nini amekuwa na matokeo ya kushangaza huko Roma baada ya msimu mgumu akiwa na Chelsea akisema kuwa yeye ni mtaalamu. Watu wengi walizungumza kuhusu yeye lakini …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, mshambuliaji wa England, Harry Kane huenda akatia saini mkataba mpya na Tottenham iwapo kifungu cha kumuachilia kuondoka katika kandarasi yake kitawekwa. Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Real Madrid Isco, 28, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari litakapofunguliwa. Kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, ataamua wiki hii …

1 2 3