Tocalli: Aguero na Messi ni Washikaji Tangu Wadogo
Mkurugenzi wa michezo wa Argentina Hugo Tocalli amezidisha uvumi unaomuunganisha Sergio Aguero na Barcelona, baada ya kusema uhusiano wake wa karibu na Lionel Messi. Tocalli alifanya kazi na wachezaji hao …