James Rodriguez - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

James Rodriguez Aikataa Atletico Madrid

Daily News

Jumatatu usiku, James Rodriguez alizua uvumi mkali kwamba atajiunga na Atletico Madrid wakati akichapisha picha aliyojipiga kwa simu iliyo na kaulimbiu kutoka katika klabu hiyo. Kwa kuwa alikuwa karibu kujiunga …

James Rodriguez Kurejea Dimbani April 3

Daily News

James Rodriguez amepanga tarehe ya kurejea dimbani huko Everton na Kiungo mchezeshaji huyo wa Colombia amejikuta akikosa mechi tano za Toffees kutokana na majeraha. Muamerika wa Kusini huyo alicheza katika …

James Rodriguez Ametua Everton

Football

Mchezaji ambaye alionekana kutokuwa na namba ndani ya kikosi cha Zinedine Zidane – James Rodriguez, amesajiliwa rasmi na Everton kunako Ligi ya EPL. Kwa misimu kadhaa, Rodriguez alikuwa na wakati …

James Rodriguez: Nusura Niondoke Madrid

Daily News

Mshambuliaji huyu raia wa Colombia, James Rodriguez ameipa moto minong’ono ambayo inaendelea juu ya hatma ya uhusiano wake na meneja Zinedine Zidane. James Rodriguez anasema klabu ya Real Madrid ilimyima …

Rodriguez Ajiunga na Olympiacos

Daily News

James Rodriguez ambaye ni raia wa Colombia na mwenye umri wa miaka 31 amejiunga na timu ya Ugiriki inayojulikana kama Olympiacos akitoka katika klabu ya Al Rayyan. Mchezaji huyo anacheza …

Rodriguez au Jadon Sancho Atue United?

Bundesliga

Real Madrid wanaripotiwa kuwa wapo tayari kumuuza James Rodriguez wakiwa na lengo la kupunguza kiasi ambacho wanakitumia kulipa mishahara. Mpango wao ni kupunguza wachezaji ambao wanaonekana kutotukuwa na umuhimu mkubwa …

Rodriguez Kufunga Biashara na Bayern

Football

Fowadi wa Real Madrid, James Rodriguez anatarajia kufunga hesabu na klabu ya Bayern Munich aliyokuwa akiitumikia kwa mkopo baada ya mkopo wake kuisha. Nyota huyu anaripotiwa kuwa ameiambia klabu hiyo …

Kovac: Rodriguez ni Muhimu Bayern

Football

Nico Kovac amesisitiza kuwa James Rodriguez ambaye alitoka Real Madrid kwa mkopo kuwa ni mchezaji muhimu sana kwa Bayern Munich lakini kwa bahati mbaya hawezi kuchezesha wachezaji 12 uwanjani. Hivi …

Madrid kulipa £35m kwa Rodriguez

Football

Real Madrid wameripotiwa kuwa wapo katika mchakato wa kufikiria uwezekano wa kufanya malipo ya euro milioni 35 kwa ajili ya kumrududisha James Rodriguez ambaye yupo kwa mkopo Bayern Munich. Mabingwa …

1 2 3 4