Javier Fortuna - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Fortuna Apania Kumchapa kwa KO Ryan Garcia

Boxing

Bondia Javier Fortuna amelezea kiu yake ya kutaka kumlambisha sakafu bondia machachari Ryan Garcia katika pambano lao lijalo ambalo limepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Crypto.com Arena huko …

Ryan Garcia: Bado Ningemdunda Davis kwa KO.

Boxing

Ryan Garcia alijitokeza siku ya Alhamisi kuzungumza takataka kidogo juu ya Gervonta ‘Tank’ Davis, mpiganaji ambaye alikuwa ameuambia ulimwengu wa ndondi kwamba anakwenda kupigana kabla ya kuvinjika kwa matumaini ya …

Canelo: Ryan Garcia Anapoteza Kipaji Chake

Boxing

Saúl Canelo Alvarez alidokeza Alhamisi hii kwamba mshirika wake wa gym, Ryan García, hajazingatia kikamilifu na hana nidhamu katika mazoezi yake kwenye gym. “Kwa macho yangu, anapoteza muda mwingi na …