Kama Hulk - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Demiral: Ronaldo Anapenda Kujifunza Kila Siku

Euro 2020

Unaambiwa aliyepitia shida achoki kutafuta mafanikio, mchezaji wa Juventus Demiral anasema anashangazwa sana na namna ambavyo Ronaldo anaendelea kutaka mafanikio zaidi licha ya kuwa na vitu vingi sana aliyovipata. Demiral …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Liverpool na Manchester United wamepata hamasa ya kumnunua mchezaji wa RB Leipzig Dayot Upamecano kutokana na uamuzi wa beki huyo. Tetesi zinasema Manchester United wana fursa ya kusaini …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Kocha wa Tottenham Hotspur Jose Mourinho anataka kumsajili winga anayekipiga Porto, raia wa Colombia Luis Diaz, 23. Inter Miami, inayomilikiwa na nahodha wa zamani wa England David Beckham, …

Moja ya Vituko vya Sarri!

Football

Ni hulka ya binadamu kufanya mambo fulani ambayo mtu mwingine anaweza kutazama kwa jicho la tofauti na kuona labda jamaa akili zilimkimbia mara moja au inakuwaje! Meneja wa Juventus, Maurizio …

Usajili wa Bei Mbaya China

Champions League

Nchi ya China ina vilabu vingi ambavyo vina lengo la kuleta heshima katika soka na vinaonelea mbali sana katika uendelezaji wa soka ndani ya taifa. Wamekuwa nyuma sana upande wa …