Rummenigge Aomba Radhi kwa Kumuachia Alaba
Mkurugenzi mtemdaji wa zamani klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amejitokeza na kuomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuruhusu mchezaji wa kimataifa wa Austria David Alaba kuondoka Bayern na …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Mkurugenzi mtemdaji wa zamani klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amejitokeza na kuomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuruhusu mchezaji wa kimataifa wa Austria David Alaba kuondoka Bayern na …
Karl-Heinz Rummenigge hajachelewa kujibu juu ya uvumi unaoendelea kuondoka kwa Robert Lewandowski huko Bayern Munich, na kuondoa kuyaondoa mazunguzo ya aina hiyo. Imependekezwa kuwa mabingwa wa Ujerumani wanaweza kuwa tayari …
Kocha mkuu wa Bayern Munich Julian Nagelsmann amesema kwamba aliwasiliana na Joshua Kimmich baada ya kiungo huyo wa Ujerumani kukiri kwamba hajapata chanjo ya COVID-19. Bayern Munich ambao wanajiandaa kucheza …
Mkurugenzi Mtendaji wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge anasema klabu inafanya kazi kwa karibu na Hansi Flick “kupata suluhisho” baada ya kocha mkuu kutangaza nia yake ya kuondoka. Flick alielezea katika …
Mabingwa wa Bundesliga wameungana na ndugu zao Borussia Dortmund na RB Leipzig katika kutangaza kutounga mkono mashindano mapya ya Ulaya. Siku ya Jumapili timu 12 kutoka England, Spain na Italia …
Tetesi zinasema Liverpool hawajui masharti yoyote ya awali kabla ya mkataba wa mapema kwa kiungo wa kati wa Barcelona na raia wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30. Meneja Mikel Arteta …
Tetesi zinasema Chelsea imeripotiwa kuanzisha mazungumzo na Bayern Munich kuhusu mpango wa kumsajili beki wa Bayern Munich Niklas Sule kwa dau la £25.9m. Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Bayern …
Mkurugenzi mkuu wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amebainisha kuwa itakuwa “heshima” kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah lakini anasema kuwa hawana mpango wowote wa kumleta Ujerumani. Salah, ambaye alijiunga na …
Tetesi zinasema Manchester United ina hamu ya kumsajili mchezaji anayelengwa na Arsenal pamoja na Liverpool Yves Bissouma, mchezaji wa klabu ya Brighton na raia wa Malian mwenye umri wa miaka …
Kingsley Coman wa Bayern Munich alikuwa miongoni mwa wachezaji mbadala ambao Man Utd walikuwa wakiwatupia jicho wakati wa dirisha la uhamisho la msimu wa joto baada ya kukwama kwa Jadon …
Tetesi zinasema Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka. Paris St-Germain wanajiandaa kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari wa kiungo …
Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema anataka mlinzi wa Austria David Alaba kusalia kwenye klabu, lakini uamuzi unabaki kuwa wa mchezaji huyo mwenye miaka 28. Real Madrid …
Zikiwa zimepita siku 16 tu mara baada ya ushindi wa kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huko Lisbon na likizo fupi, nyota wa klabu ya soka ya Bayern Munich …
Kocha mkuu wa Bayern Munich Hansi Flick anasema anaweza kuelewa kwanini nyota anayetajwa kufukuziwa na Liverpool, Thiago Alcantara anataka Ligi Kuu. Mkataba wa Thiago unaisha mwaka ujao na tayari mwenyekiti …
Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha Argentina, Liverpool wanatarajiwa kukubaliana na dili la kumsaini Thiago Alcantara kutokea Bayern Munich kwa €35m Taarifa zingine kutoka Hispania zilikuwa zikimtaja …
Klabu ya Bayern Munich imeamua kuchana na kipengele cha kumnunua Philippe Coutinho, na sasa kipengele hicho kimeisha wakati wake. Countinho alijiunga na Bayern kwa mkopo kwa msimu mmoja akitokea LaLiga, …
Klabu za Ujerumani kutoka ligi kubwa mbili wamekubali kuongeza katazo la mechi hadi Aprili 30 kwasababu ya Corona. Klabu zote 36 kutoka Bundesliga na Bundesliga 2 wanaangalia namna ya kufanya …
Aliyekuwa Golikipa wa klabu ya Bayern Munich Oliver Khan ameungana na klabu hiyo kwa kuingia kwenye bodi ya wakurugenzi wa klabu. Legendari huyu ambaye aliteuliwa tokea mwezi Januari, alitarajiwa kuanza …