Karl-Heinz Rummenigge - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Liverpool hawajui masharti yoyote ya awali kabla ya mkataba wa mapema kwa kiungo wa kati wa Barcelona na raia wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30. Meneja Mikel Arteta …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Chelsea imeripotiwa kuanzisha mazungumzo na Bayern Munich kuhusu mpango wa kumsajili beki wa Bayern Munich Niklas Sule kwa dau la Β£25.9m. Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Bayern …

“Itakuwa Heshima Kuwa na Salah Bayern”

Daily News

Mkurugenzi mkuu wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amebainisha kuwa itakuwa “heshima” kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah lakini anasema kuwa hawana mpango wowote wa kumleta Ujerumani. Salah, ambaye alijiunga na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United ina hamu ya kumsajili mchezaji anayelengwa na Arsenal pamoja na Liverpool Yves Bissouma, mchezaji wa klabu ya Brighton na raia wa Malian mwenye umri wa miaka …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka. Paris St-Germain wanajiandaa kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari wa kiungo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema anataka mlinzi wa Austria David Alaba kusalia kwenye klabu, lakini uamuzi unabaki kuwa wa mchezaji huyo mwenye miaka 28. Real Madrid …

Naelewa kwa Nini Thiago Anaitaka EPL

Daily News

Kocha mkuu wa Bayern Munich Hansi Flick anasema anaweza kuelewa kwanini nyota anayetajwa kufukuziwa na Liverpool, Thiago Alcantara anataka Ligi Kuu. Mkataba wa Thiago unaisha mwaka ujao na tayari mwenyekiti …

Bayern Wamebwaga Kumnunua Coutinho

Bundesliga

Klabu ya Bayern Munich imeamua kuchana na kipengele cha kumnunua Philippe Coutinho, na sasa kipengele hicho kimeisha wakati wake. Countinho alijiunga na Bayern kwa mkopo kwa msimu mmoja akitokea LaLiga, …

Bundesliga Hadi Aprili 30

Bundesliga

Klabu za Ujerumani kutoka ligi kubwa mbili wamekubali kuongeza katazo la mechi hadi Aprili 30 kwasababu ya Corona. Klabu zote 36 kutoka Bundesliga na Bundesliga 2 wanaangalia namna ya kufanya …

2020 Oliver Khan Ndani ya Munich

Bundesliga

Aliyekuwa Golikipa wa klabu ya Bayern Munich Oliver Khan ameungana na klabu hiyo kwa kuingia kwenye bodi ya wakurugenzi wa klabu. Legendari huyu ambaye aliteuliwa tokea mwezi Januari, alitarajiwa kuanza …