Koeman - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Suarez Ataka Majibu Kutoka kwa Koeman

Daily News

Mchezaji wa Atletico MadridΒ  Luis Suarez anataka aliyekuwa kocha wa zamani Ronald Koeman amwambieΒ  kwanini alimuondoa katika klabu yake ya Barcelona miaka miwili iliyopita.   Suarez alijiunga na wapinzani wao …

Koeman Kumrithi Van Gaal.

World Cup 2022

Kwa mara ya pili, Ronald Koeman atarejea kwenye nafasi ya kuiongoza timu ya Taifa ya Uholanzi kama kocha mkuu. Koeman atachukua nafasi hiyo kuanzia mwezi Januari baada ya mashindano ya …

Rangers Wamtolea Macho Ronald Koeman

Daily News

Baada ya Steven Gerrard kuwapa mkono wa kwa heri sasa Rangers wanatafuta kocha mbadala ili kuendeleza wimbo mzuri ambao Gerrard aliuanzisha na Ronald Koeman anaonekana kuwa mtu sahihi Ibrox Stadium …

Ronald Koeman Agoma Kujibu Maswali

Champions League

Ronald Koeman hakujibu swali lolote kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye chumba cha mikutano Barcelona badala yake alikuwa akisoma kile alichokiandaa leo jumatano. Barcelona walitoka sare ya 1-1 na …

Jordi Cruyff: Hakuna wa Kumbadili Koeman

Daily News

Mshauri wa Barcelona Jordi Cruyff amekataa mawazo kuwa Ronald Koeman anaweza kupata mbadala wake Koeman. Koeman alionekana kuwa mbioni kuondoka klabuni hapo, huku taarifa zingine zikibainisha kuwa Joan Laport alimwambia …

1 2 3 4 12 13 14