Kurt Zouma - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kurt Zouma Anusurika Adhabu ya PFA

Daily News

Chama cha wachezaji wakulipwa PFA wametoa waraka ambao unamtetea Kurt Zouma kuwa hakukpaswa kuadhibiwa baada ya kuonekana kwenye video iliyosambaa akimuadhibu paka . Video alizokuwa anamuadhibu paka zilivujishwa na The …

David Moyes: Zouma Sitamuondoa Kikosini

Daily News

Kocha wa klabu ya West Ham United David Moyes amesema kuwa Kurt Zouma atakuwepo kwenye kikosi kitakachocheza wikiendi hii japokuwa amekuwa akikosoloewa baada ya video yake akimpiga paka kukoselewa. David …

Zouma Azua Kizaazaa West Ham.

Daily News

  Taarifa zinasema kwamba mmoja wa Wafadhili wa Club ya soka ya West Ham ya England anatafakari kujiondoa kuifadhili Timu hiyo baada ya Beki Kurt Zouma kuruhusiwa kucheza dhidi ya …

Chelsea : Kounde In Zouma Out.

Daily News

  Klabu ya Chelsea ipo katika mipango yake ya kuhakikisha wanakamilisha dili la kumsajili mlinzi wa kifaransa kutoka Sevilla, Joules Kounde baada mchezaji huyo kukubaliana maslahi binafsi na klabu. Kulingana …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Beki wa kushoto wa Real Madrid, Marcelo, 33,anatarajiwa kukamilisha kandarasi yake baada ya kuichezea klabu hiyo kwa miaka 15 na atajiunga na klabu ya Fluminense nchini Brazil. …

Jumamosi Bomba: Liverpool vs Chelsea

Daily News

Leo ni wiki ya tatu kunako Premier League ambapo kutakuwa na michezo kadhaa Chelsea, Liverpool, Arsenal na City wote watakuwa dimbani kuendeleza gurudumu la EPL. Hapa acha tuangalie mchezo kati …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Paris St-Germain itajaribu kumsajili mshambuliaji wa Everton na Brazil Richarlison, 24, ikiwa watakubaliana kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, kwa Real Madrid. Mshambuliaji wa Borussia Dortmund …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Real Madrid imepeleka ofa ya kwanza ya £137m kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 22, lakini klabu hiyo ya Ufaransa inatarajia kukataa ofa yoyote …

Tetesi za soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Wakala wa mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo’, Jorge Mendes ameipatia Manchester City ofa ya kumsajili nyota huyo wa Portugal mwenye umri wa miaka 36. Tetesi zinasema, Baada …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Paris St-Germain italazimika kuuza wachezaji 10 wa kikosi cha kwanza ili kusawazisha mahesabu yao baada ya kumsajili a Lionel Messi, 34. Tetesi zinasema, Manchester City wanapanga kufungua …

1 2