Enrique Aondoa Hofu ya Kylian Mbappe Kuumia Hapo Jana
Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique aliondoa wasiwasi wa Kylian Mbappe wa jeraha baada ya mshambuliaji huyo wa Ufaransa kubadilishwa katika ushindi wao wa 4-0 dhidi ya Marseille. …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique aliondoa wasiwasi wa Kylian Mbappe wa jeraha baada ya mshambuliaji huyo wa Ufaransa kubadilishwa katika ushindi wao wa 4-0 dhidi ya Marseille. …
Imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool wamejitokeza kuwania saini ya mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe. Mfaransa huyo ameachwa katika ziara ya PSG ya kujiandaa na msimu mpya baada ya …
Kylian Mbappe ameibuka tena akizungumzia mapungufu ya klabu yake ya PSG, kumruhusu nyota wa dunia Lionel Messi kuondoka katika hali ya kushangaza. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa …
Kocha mkuu wa PSG Christophe Galtier amesema kuwa jeraha la Kylian Mbappe halionekani kuwa baya sana na amefichua hayo baada ya mshambuliaji huyo kuchechemea dhidi ya Montpellier. Huku Neymar …
“Hata nisingepokea simu,” alisema rais wa Shirikisho la Soka la Ufaransa Noel Le Graet wakati akijadili kama angewahi kufikiria Zinedine Zidane kuwa meneja wa Ufaransa, huku Didier Deschamps akitangazwa kuwa …
Martinez pia alisababisha usumbufu kwa mamilioni ya watazamaji baada ya fainali, kwa ishara isiyokuwa nzuri alipotunukiwa tuzo ya golikipa bora wa michuano ya kombe la dunia ‘Golden Glove’. Shirikisho la …
Kylian Mbappe ataelekea kwenye likizo yake baada ya kutamatika kwa Kombe la Dunia kumalizika kwa mtindo wa uchungu zaidi kwa timu ya Ufaransa atakaporejea nchi yake, anaweza kuwa karibu kuangusha …
Nyota wa Ufaransa Kylian Mbappe alipigwa picha akicheka baada ya nahodha wa Uingereza Harry Kane kupiga na kukosa penati yake ya pili juu ya lango, wakati mabingwa hao watetezi wa …
Staa wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe ameomba kuondoka klabuni hapo katika dirisha dogo la januari.Tetesi zinasema Kylian Mbappe anahitaji kuondoka klabuni hapo kutokana …
Kampuni ya michezo ya kieletroniki EA Sports imeweka wazi cover itakayotumika kwenye ‘FIFA 23 Ultimate Edition’ na mchezaji nyota wa klabu ya PSG Kylian Mbappe na mwanadada nyota wa klabu …
Kylian Mbappe hivi karibuni amesaini mkataba mpya na klabu ya PSG, ambapo awali alipanga kuondoka klabu hiyo baada ya mkataba wake kuisha majira ya kiangazi. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa …
Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain na mshindi wa kombe la Dunia Kylian Mbappe ambaye alitengeneza vichwa vya habari kutokana na sintofahamu ya uhamisho wake wa wapi anakwenda kucheza …
Mchezaji nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Kylian Mbappe ambaye mwishoni mwa msimu huu mkataba na mabingwa wa Ligue 1 unakwisha bado anagonga vichwa vya habari za usajiri barani …
Nyota wa PSG, Kylian Mbappe amebainisha kuwa bado hajafanya maamuzi juu ya hatma yake, lakini ni vitu vichache tu vimesalia kwake kuamua. Nyota huyu ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye League …
Fowadi wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe ni anaripotiwa kuwa yupo tayari kukubali punguzo la mshahara ili kujiunga na Real Madrid msimu huu. Staa huyo bado hana uhakika na uwepo wake …
Bingwa ligi ya Ufaransa Ligue 1 PSG wanaamini wanaweza kumshawishi nyota wao ambae mkataba wake unakwenda kuisha majira ya kiangazi kuweza kusalia kwenye klabu hiyo kwa angalau miaka miwili zaidi. …
Kichapo cha 1-0 kutoka Atletico Madrid kiliiondoa timu Man United kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa, na kuwafanya wawe na msimu wa tano mfululizo bila ya kupata taji, huku Ronaldo …
Mshambuliaji nyota wa timu ya Paris St Germain Kylian Mbappe amepata majeraha ya mguu akiwa mazoezini na bado kuna wasiwasi ikiwa atakuwa sawa kuwavaa klabu ya Real Madrid kwenye mzunguko …
Erling Haaland siyo kipaumbele katika mipango ya Real Madrid kwa sasa na ripoti nchini Uhispania zinadai Mbappe ndiye anayewaumiza kichwa zaidi Real. Miamba hao wa Uhispania wanaendelea na jitihada zao …
Ndoto ya Kylian Mbappe kujiunga na klabu ya Real Madrid sio siri tena, ile shauku yake ya kutaka kucheza kwenye timu inaotokea nchini Hispania sasa inakwenda kutimia baada ya kuingia …