La liga - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Real Madrid Inachechemea La liga

La Liga

Klabu ya soka ya Real Madrid imeendelea kuchechemea katika ligi kuu nchini Hispania baada ya kukubali kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya klabu ya Real Mallorca. Real Madrid …

Lahoz Afungiwa La Liga

La Liga

Refa Antonio Mateu Lahoz hatakuepo kwenye michezo ya wikiendi hii baada ya kutoa kadi nyingi katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania kati ya Bracelona na Espanyol. Refa Lahoz alipingwa …

Kikosi bora cha msimu 2022 La Liga

La Liga

Baada ya misimu michache ya misukosuko kufuatia mauzo ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, La Liga ilikuwa nzuri na kweli imerejea kwenye ubora wake wa 2022.   Wachezaji nyota wapya …

Lewandowski Hakamatiki ndani ya La liga.

News

Mchezaji Roberto Lewandowski wa klabu ya Fc Barcelona ameendelea kudhihirisha ubora wake kila uchawao kunako ligi kuu ya Hispania maarufu kama La liga. Mchezaji huyo ambae amejiunga na klabu hiyo …

Mipango La Liga Santander Tanzania

News

Mjumbe wa La Liga ukanda wa Tanzania, Rwanda na Burundi Jorge Gazapo leo Septemba 6, 2022 ameweka wazi mipango ya La liga barani Afrika hususani Tanzania na kusema kuwa wamejipanga …

Nkane: Natamani kucheza La Liga.

Daily News

  KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Denis Nkane amefunguka kuwa malengo yake makubwa ni kucheza ligi ya La Liga. Nkane ambaye amekuwa na msimu bora alijiunga na Yanga kwenye dirisha dogo …

1 2 3 4 116 117 118